mchapa shughuli
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 549
- 422
Mashahidi wanaanza kutoa ushahidi kesho eneo lililotajwa hapo juu,hv picha za video zinaweza kutumika kama ushahidi mahakamani?
Wabunge wa CDM watapukutika wote mwaka huu. Lema ndiyo huyoo amekalia kuti kavu.
Kumbe karibu wote wana kesi? Inaonekana walicheza faulu nyingi wakati wa uchaguzi.
Wana UBUNGO hatumtaki mnyika na tumeshafafanua kero zetu zote, kwanza hatujui kama anaishi dar na tunamuona kwenye TV tu, nitawaunga mkono hao watu na ikibidi uchaguzi uitishwe mara moja, UBUNGO tupo kama mayatima hatujui nani mbunge wetu, anasubiri magufuli aje afungue kituo cha daladala ndo aonekane.
Inshort tunajuta kumchagua kuwa mbunge na hatutorudia kosa hili kamwe na yeye anajua hili.