Hawa ndugu wanaongea nini hapa?

Hawa ndugu wanaongea nini hapa?

Brightman Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2009
Posts
1,224
Reaction score
237
images
 
Anamsikiliza Rais wake ajaye pende asipende lazima atabasamu tu.Chezea Lowasa
 
EL~"...umafia mlionifanyia, siamini..tupange dili jingine bwana...ila sasa hivi ni zamu yake"

6~"...mh..eeh..hahahaaa...sawa sawa."
 

Sikia mkuu baba wa taifa hayupo hili chama letu mi naliburuza tu hakuna cha mwenyekigoda wala nini hapa ni pesa tu.Na wewe kama unajiona safi nenda rais wao anaongoza chama cha bongo fleva sio siasa.........xxxxxxxxxxxxxxxxxxx
 
.. more white hair than yours, perfect match to the white house! hahaha EL > 6
 
Tumegawiwa pamoja haya mashati mbona la kwako limepauka hivo? au unalivaa sana kwenye mikutano ya kukinusuru chama dhidi ya M4C, operation sangara?
 
EL anamuuliza mbona nguo yake imepauka sana, vipi unaishi kwenye maji yenye chumvi sana,,,, au nikutafutie nyingine japo na wewe upendeze ili wana ccm wakupende kama mimi....
 
ahahahaaaaaaassssss....hatari...hatari....hatariiiiii.......lakn salama
 
Comment zenu nyie watu zimenivunja mbavu! Tehe tehe tehe teheeee.........!
 
Back
Top Bottom