Hawa ndo mbu waenezao Dengue

Hawa ndo mbu waenezao Dengue

Usafi wa mazingira tu hawa wote watakuwa hawana uhai na watakosa mahali pakuzaliana, lakini miji na majiji yetu ni michafu/machafu kupita kiasi matokeo yake ni magonjwa yasiyokwisha ambayo yanachukua maisha ya Watanzania walio wengi kila siku, kipindupindu, kuhara damu, malaria na sasa hii dengue.
 
Tungejitolea ku mwaga mafuta taa kila tunapoishi tusingoje mamlaka kwa Kuwa hawatafanya
 
siku nyingne msichukue sheria mikononi! sawa?

Mkuu Deejay nasmile nimecheka sana!!! Yaani sasa ndiyo maana Wizara badala ya kufanya fumigation wanaogopa watakuwa wamechukua sheria mkononi? Ha ha ha!!! Anyway, hali si shwari mkuu.
 
Unataka kusema sio hao au kunamwingine

Ni hao hao soma post yangu. Huyu hapa amekuzwa kidogo ili kusaidia watu kumuona vizuri. Huwa ni wakubwa kidogo kupita hawa mbu wengine. Sijabisha wala kukataa kama ni huyo. OK.
 
Hapana mkuu. Hii picha imekuzwa. Leo ofisi yetu tumekamata na kuua wawili mmoja akiwa ameshiba damu. Wana weupe fulani hivi umejificha ilani wakubwa kidogo ya mbu tuliowazoea. Inaelekea wapo wengi sana wamezaliana kwa.sasa.


Kuna kipindi niljsikia kwamba kuna mbu wakidugwa pale jangwani na kitengo cha afya cha utafiti.
Je,kama ni kweli hii si inaezekana kwamba ndo hawa walioibuka na kuingiza ugonjwa wa dengue kwa kasi?
 
huyu mbu anaouwezo wa kufika dodoma mjengoni?
 
duh tanzania bwana tumeshasahau kule mjengoni sasa tumehamia kwenye dengue ndio habari ya mjini tukija kushtuka mambo kule yameisha
 
Back
Top Bottom