Hawa ndo mbu waenezao Dengue

Hawa ndo mbu waenezao Dengue

youngashley

Senior Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
187
Reaction score
52
Sijui jamani nijuzeni
attachment.php
 
Attachments

  • 1400008721413.jpg
    1400008721413.jpg
    34.4 KB · Views: 1,783
Kwa kumbukumbu zangu za kuumwa na mbu daily bado sijaumwa na li mbu likubwa hivi... Kwa hiyo niko salama, i guess....!!!
 
Hapana mkuu. Hii picha imekuzwa. Leo ofisi yetu tumekamata na kuua wawili mmoja akiwa ameshiba damu. Wana weupe fulani hivi umejificha ilani wakubwa kidogo ya mbu tuliowazoea. Inaelekea wapo wengi sana wamezaliana kwa.sasa.
 
Unataka kusema sio hao au kunamwingine
 
Dawa ya hawa mbu ni kuanza kuwatafuna kama senene au kumbikumbi...dawa ya moto ni moto.
 
Sometimes kuna vitu vinashangaza sana, huu ilibidi uwe msimu wa kipindupindu kama ilivyozoeleka lakini ghafla dengu imekuja ika takeover. DENGU NI NOUWMAH..
 
Wakati mengine unaweza fikiria nakusema haya ni mapigo toka kwa Mungu
 
Hapana mkuu. Hii picha imekuzwa. Leo ofisi yetu tumekamata na kuua wawili mmoja akiwa ameshiba damu. Wana weupe fulani hivi umejificha ilani wakubwa kidogo ya mbu tuliowazoea. Inaelekea wapo wengi sana wamezaliana kwa.sasa.

siku nyingne msichukue sheria mikononi! sawa?
 
Back
Top Bottom