92mtl
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 461
- 308
- Thread starter
- #81
hii kwangu mpyaaa una changanya kiasi gan? hizo chenga za mkaaa na je una fanya ivo hadi uone dall au hata wakiwa poa??hao hapo wa malawi wakiwa na miezi 4 bamda la pembeni ni sasso waliwa na mwezi na nusu.
malawi japo ni kama wa kienyeji ila wanataka uangalizi sana wana ugonjwa wa kunya chokaa na baada kufa ...tiba yake ni chenga za mkaa kwa kuchanganya kwenye chakula
nigen ila cjaona ajabu maana kipind nakua mama alikua ana walisha chenga za mkaaa nguluwe ktk chakula nilipo uliza kasema ni dawa ya minyoooo
Wadau, nimefuga kuku wa Malawi. Nilichukua vifaranga kama 200 sasa hivi wanaendelea vizuri ni wiki ya 4 sasa.
Kwa mliotangulia naombeni msaada. Je, hawa kuku kuna haja ya kuwalisha hata usiku?
View attachment 367361