Animal Keeper
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 348
- 283
Hapana wataalamu wa mifugo tunakushaur kuwalisha mchana tuu na usiku waendelee kula chakula kilicho bakia mchana ili kuongeza ukuajiWadau, nimefuga kuku wa Malawi. Nilichukua vifaranga kama 200 sasa hivi wanaendelea vizuri ni wiki ya 4 sasa.
Kwa mliotangulia naombeni msaada. Je, hawa kuku kuna haja ya kuwalisha hata usiku?
View attachment 367361
By me
