Hawa Ndiyo Wauza Madawa ya Kulevya Walioitikisa Dunia

Pablo escoba ni hatariiiii
685b9b6510fe4fa71f6473ac655502ef.jpg
 
Jamani wangehalalisha tu hiyo ngada maana mtu anakula mwenyewe kwa akili zake timamu bila kushurutishwa na mtu yeyotw
 
sielewi kwa nini baishara haramu zinakuwa na pesa ndefu na ukiangalia uhalisia wake zinaonekana za kipuuzi kama cocaine,pembe za tembo ni vitu ambavyo ukiviangalia vya kawaida sana.
 
sasa ka kiwango kikubwa unatengenezwa colombia na mexico inakuaje tena unasikia unatoka tanzania kwenda marekani kwani na sisi tuna viwanda?
 
Mkuu, huyu Pablo nilisomaga historia ni mtu hatari sana, ni mtu aliyepata utajiri mkubwa kupitia madawa. Je, bado yupo hai?
Pablo alishafariki na chanzo cha kifo chake mpaka leo serikali ya colombia haijathibitisha kama alikufa kwa kujipiga mwenyewe risasi au kuna mtu alimpiga risasi maana jeshi la serikali ndilo lilimvamia huko Medellin ila alikutwa na jeshi hilo keshakufa tayari
 
sasa ka kiwango kikubwa unatengenezwa colombia na mexico inakuaje tena unasikia unatoka tanzania kwenda marekani kwani na sisi tuna viwanda?
Tanzania au nchi nyingine ni njia tu. Nia ni kupunguza kukaguliwa kupita kiasi
 
Mkuu, huyu Pablo nilisomaga historia ni mtu hatari sana, ni mtu aliyepata utajiri mkubwa kupitia madawa. Je, bado yupo hai?
duh hichi kitabu ulicho soma ulisoma kipindi cha miakq ya 79 ama?
 
Duh kuna tamthilia moja ya wamexico inaitwa Griselda blanco the black widow
Ndo walimtungia huyu mama nn maana na yenyewe inahusu hivyo hivyo madawa ya kulevya
 
Listi yako imejaa vidagaa tu,mtu kama freeway rick ross,christopher coke,felix mitchel na frank licas hawapo hata kwenye top 20 ya wauza unga wakubwa kuwahi kutokea duniani
dah wewe ungeleta yako basi maana unamkatisha tamaa aliyeelimisha ambao hawakumjua hata pablo escober
 
Back
Top Bottom