Hawa Ndiyo Watu Wanaomfanya Bill Gates Aonekane Maskini

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
Watati Bill Gates akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 80 wafuatao ni matajiri ambao hawatajwi sana wala kusikika sana ambao wanamfanya Bill Gates aonekane choka mbaya kuliko wao.

10.KIM JONG UN
Utajiri wake ni Dola za Kimarekani Bilioni 170.
2-6.jpg

Wangapi wanamjua huku Rais wa sasa wa Korea Ya Kaskazini Kim Jong Un au Dogo KIduku kama wengi wanavyopenda kumuita??
Basi huyu jamaa kuingia kwenye hii losti inaweza ikakushangaza kidogo.Wakati wananchi wa Koreaa wakilalamika maisha magumu huyu Kim Jong Un yeye na familia yake wanamiliki karibu na rasilimali zote za nchi hiyo.

Huyu jamaa kila siku anatumia maelfu ya dola za kimarekani kununulia pombe na sigara.Unajua kwanini hawekwi kwenye jarida la Forbe??
Kwasababu mali zake nyingi hazajipata kihalali.

9.FAMILIA YA ROTHSCHILDS
Utajiri wao ni Dola za Kimarekani Trilioni 2
5-4.jpg

Hawa majajiri hawajaanza leo wapo vizazi mpaka vizazi.
Hii ni familia ya kitajiri na sio mtu mmoja pekee yake.Basi ondoa shaka hawa ni matajiri kuliko Bill Gates mwenyewe.
The family are known for their insane secrecy which has led to a lot of conspiracies about them. Some say they’re responsible for planning every historical event in order to make money. There are some evidence to support this such as them funding many political activities all around the world. And they do hold a secret meeting called the ‘Bilderberg’ meeting each year where they plan secret ways to make tons of money. The family’s net worth is said to be over two trillion dollars, but believe it or not there are only the second richest family in the world.

8.MUAMMAR GADDAFFI
3-6.jpg

Walibya wangapi mpaka leo wanajuta baada ya kifo cha huyu rais??
Basi bwana huyu ndiye Rais aliyeipeleka Libya kwenye Nchi Ya Ahadi.
Yaani elimu ilikuwa bure,matibabu bure,umeme bure na makorokoro mengine kibao.
Basi kwa taarifa yako jamaa alikuwa ana bunduki ya dhahabu na utajiri wa Dola za kina TRUMP Bilioni 180.

7.FAMILIA YA SAUD
Wangapi wanaujua utawala wa Saudi Arabia wa kifalme??
Hii familia inashika namba 2 kwa utajiri ukiachana na familia ya Rothschilds
Basi hawa majamaa wa familia hii ya Wanamfalme wanamiliki utajiri wa Dola za kimarekani Trilioni 2.4
Hawa wanandugu wanauza mafuta huku mapato yote yatokanayo na mafuta yakiingia kwenye waleti zao binafsi.
Pesa zinazopatikana katika mafuta wanatumia kununulia magari ya kifahari ya bei mbaya.
Mpaka sasa utajiri wao nisiri ambaayo hawataki mtu yeyote ajue isipokuwa mimi.

6.BASHAR AL ASSAD
1-7.jpg

Huyu ni rais dikteta wa sasa wa Syria ambaye anamiliki utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 122
Wakati wananchi wake wakipigania maisha yao huku mamilioni wakikimbia makazi huyu BASHAR AL ASSAD anaendelea kula maisha tu.
Utajiri mwingi umetokana na kuiba rasilimali za nchi yake huku akiwa na akaunti ya fedha za kutosha huko Panama.

5.PABLO ESCOBAR
6-3.jpg

Yaani hapa bila ubishi huyu jamaa alistahili kuingia kwenye hii listi.
Jamaa alikiiuwa muuza madawa ya kulevya huko Columbia jamaa alikuwa muhalifu balaa.
Pia alikuwa na ndege na boti ambazo zilikuwa zinamrahisishia kusafirisha madawa popote pale pia alikuwa ana mbuga wa wanyama nyumbani kwake.
Huyu jamaa kwa mwezi alikuwa anatumia Tsh 5,550,000/- kwa aji;li ya kununulia rubber band tamka rababendi kwa ajili ya kufungia maburunguti ya pesa zake.
Katika kipindi cha majira ya baridi alichoma moto dola za kimarekani Milioni 2 ili kumpa joto mtoto wake.
Kwa siku alikuwa aningiza dola za kimarekani Milioni 66.
Kwa maelezo zaidi tafuta movie iitwayo NACROS.

4.HOSNI MUBARAK
8-2.jpg

Ukiachana na rais dikteta wa Afrika Muammar Gaddaffi anafuatia huyu wa Misri anaitwa Hosni Mubarak.
Huyu alikuwa rais wa Misri tangu 1981 mpaka 2011 alipopinduliwa na jeshi kwa matumizi mabaya ya madaraka na kukithiri kwa rushwa.
Kwasasa huyu mshkaji yupo gerezani akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 70.

3.ALI ABDULLAH SALEH
9-2.jpg

Huyu jamaa hasikiki sana masikioni mwa watu ila ndo hivyo tena piga ua garagaza huyu jamaa ni raos wa Yemen kwa miaka 30 sasa wakati wananchi wakitangatanga njaa na kuwa mojawapo ya nchi maskini duniani huyu Rais anamiliki utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 126 akiwa ameziweka kwa siri kwenye bank tofauti tofauti.

2.VLADIMIR PUTIN
7-3.jpg

Hutu jamaa ni rais wa sasa wa Urusi tangu mwaka 2009 ukiachana na utajiri alionao jamaa pia ni mtu mwenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani.
Wakati Bill Gates akilingishia ki Bilioni 80 chake huyu Putin ana mara 2.5 ya utajiri wa Bill Gates namaanisha jamaa ana utajiri wa Billion 200 za kimarekani ambazo ni sawa na Trilion 440 za Kitanzania.
Pesa nyingi jamaa amezifich huko Panama huku akiwadanganya wakaguzi wa hesabu za serikali akina CAG kwamba yeye anamiliki Bilioni 2 tu.

1.MANSA MUSSA

10-2.jpg

Sasa hapa ndipo kwenye funga kazi.
Ebu tumpongeze Mwafrika mwenzetu kwa kuongoza listi hii huyu si mwingine bali ni MANSA KANKAN MUSSA mfanyabiashara na tajiri wa wakati wote kutoka Afrika.
Huyu jamaa alikuwa na mtawala huko nchi ya Mali kwenye jimbo la Tumbuktu jamaa alikuwa ana utajiri wa kutisha upatao dola za kimarekani Trilioni 400.
Jamaa alikuwa akienda kuhiji huko Makka alikuwa anaenda na jumla ya wananchi wake 10,000 kwa tripu moja.
Kwa wale waliowahi kusoma Historia inayohusu Trans Saharan Trade wanamjua vizuri sana huyu.
Huyo ndiyo MANSA KANKAN MUNSA tajiri wa wakati wote.
 
10.KIM JONG UN
Utajiri wake ni Dola za Kimarekani Bilioni 170.
2-6.jpg

Wangapi wanamjua huku Rais wa sasa wa Korea Ya Kaskazini Kim Jong Un au Dogo KIduku kama wengi wanavyopenda kumuita??
Basi huyu jamaa kuingia kwenye hii losti inaweza ikakushangaza kidogo.Wakati wananchi wa Koreaa wakilalamika maisha magumu huyu Kim Jong Un yeye na familia yake wanamiliki karibu na rasilimali zote za nchi hiyo.

Huyu jamaa kila siku anatumia maelfu ya dola za kimarekani kununulia pombe na sigara.Unajua kwanini hawekwi kwenye jarida la Forbe??
Kwasababu mali zake nyingi hazajipata kihalali.

9.FAMILIA YA ROTHSCHILDS
Utajiri wao ni Dola za Kimarekani Trilioni 2
5-4.jpg

Hawa majajiri hawajaanza leo wapo vizazi mpaka vizazi.
Hii ni familia ya kitajiri na sio mtu mmoja pekee yake.Basi ondoa shaka hawa ni matajiri kuliko Bill Gates mwenyewe.
The family are known for their insane secrecy which has led to a lot of conspiracies about them. Some say they’re responsible for planning every historical event in order to make money. There are some evidence to support this such as them funding many political activities all around the world. And they do hold a secret meeting called the ‘Bilderberg’ meeting each year where they plan secret ways to make tons of money. The family’s net worth is said to be over two trillion dollars, but believe it or not there are only the second richest family in the world.

8.MUAMMAR GADDAFFI
3-6.jpg

Walibya wangapi mpaka leo wanajuta baada ya kifo cha huyu rais??
Basi bwana huyu ndiye Rais aliyeipeleka Libya kwenye Nchi Ya Ahadi.
Yaani elimu ilikuwa bure,matibabu bure,umeme bure na makorokoro mengine kibao.
Basi kwa taarifa yako jamaa alikuwa ana bunduki ya dhahabu na utajiri wa Dola za kina TRUMP Bilioni 180.

7.FAMILIA YA SAUD
Wangapi wanaujua utawala wa Saudi Arabia wa kifalme??
Hii familia inashika namba 2 kwa utajiri ukiachana na familia ya Rothschilds
Basi hawa majamaa wa familia hii ya Wanamfalme wanamiliki utajiri wa Dola za kimarekani Trilioni 2.4
Hawa wanandugu wanauza mafuta huku mapato yote yatokanayo na mafuta yakiingia kwenye waleti zao binafsi.
Pesa zinazopatikana katika mafuta wanatumia kununulia magari ya kifahari ya bei mbaya.
Mpaka sasa utajiri wao nisiri ambaayo hawataki mtu yeyote ajue isipokuwa mimi.

6.BASHAR AL ASSAD
1-7.jpg

Huyu ni rais dikteta wa sasa wa Syria ambaye anamiliki utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 122
Wakati wananchi wake wakipigania maisha yao huku mamilioni wakikimbia makazi huyu BASHAR AL ASSAD anaendelea kula maisha tu.
Utajiri mwingi umetokana na kuiba rasilimali za nchi yake huku akiwa na akaunti ya fedha za kutosha huko Panama.

5.PABLO ESCOBAR
6-3.jpg

Yaani hapa bila ubishi huyu jamaa alistahili kuingia kwenye hii listi.
Jamaa alikiiuwa muuza madawa ya kulevya huko Columbia jamaa alikuwa muhalifu balaa.
Pia alikuwa na ndege na boti ambazo zilikuwa zinamrahisishia kusafirisha madawa popote pale pia alikuwa ana mbuga wa wanyama nyumbani kwake.
Huyu jamaa kwa mwezi alikuwa anatumia Tsh 5,550,000/- kwa aji;li ya kununulia rubber band tamka rababendi kwa ajili ya kufungia maburunguti ya pesa zake.
Katika kipindi cha majira ya baridi alichoma moto dola za kimarekani Milioni 2 ili kumpa joto mtoto wake.
Kwa siku alikuwa aningiza dola za kimarekani Milioni 66.
Kwa maelezo zaidi tafuta movie iitwayo NACROS.

4.HOSNI MUBARAK
8-2.jpg

Ukiachana na rais dikteta wa Afrika Muammar Gaddaffi anafuatia huyu wa Misri anaitwa Hosni Mubarak.
Huyu alikuwa rais wa Misri tangu 1981 mpaka 2011 alipopinduliwa na jeshi kwa matumizi mabaya ya madaraka na kukithiri kwa rushwa.
Kwasasa huyu mshkaji yupo gerezani akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 70.

3.ALI ABDULLAH SALEH
9-2.jpg

Huyu jamaa hasikiki sana masikioni mwa watu ila ndo hivyo tena piga ua garagaza huyu jamaa mpaka kuingia kwenye orodha hii sio kazi ndogo.
Wapi namba 1&2
 
6-3.jpg

Huyu jamaa alitaka kuilipia madeni nchi yake,, lakini nchi yake ilikataa na kuruhusu marekani wamukamate na rais wa nchi hiyo akapewa tuzo ya nobel

4096.jpg

Colombian president Juan Manuel Santos accepts Nobel peace prize.
 
Manuel Dos santos alipewa tuzo kwa sababu ku initiate mazungumzo na waasi wa FARC na waasi kutua silaha chini na kukubali kutoka msituni na Kuiweka Colombia Amani nchi nzima hawa jamaa FARC wamepgana na nchi ya colombia toka miaka ya 60 wakidai iongozwe kijamaa lakin Manuel juz juz ndio akawashawishi watoke msituni na iwe Amani ndio akapewa tuzo ya Nobel,Therefore Santos hakupewa Tuzo sabab ya Escobar.
 
Ukweli.
 
hao waasi nyuma yake walikuwa wanafanya shughuli za madawa ya kulevya na ni makundi yenye mitazamo ya escobar na baadhi ni askari wa escobar
 
Wapi namba 1&2
Dah nilitaka kucomment vibaya nilipoliona na kuangalia vizuri jina nikakutana na mtu ambaye huwa naamini ni mstaarabu na mzoefu na jamii forum , lakini leo kucopy uzi wote then unaandika maneno machache tu basi naomba nikae kimya tu
 
You are right
 
Back
Top Bottom