Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Raisi wa Migomo, ni wewe kweli? Hivi unakielewa kile unachokuwa unakitetea humu ndani kila leo! Sasa hili swali lako wapi na wapi. Kaaazi kweli kweli...yaani mtu mzima unachagua hovyo halafu mambo yakiwa hovyo unaanza kulalamika hovyo, duh!Kutoka uchina hadi kusukuma mabox kariakoo.je watanzania hatuwezi kazi hii?
walewale wa gogovivu...!Raisi wa Migomo, ni wewe kweli? Hivi unakielewa kile unachokuwa unakitetea humu ndani kila leo! Sasa hili swali lako wapi na wapi. Kaaazi kweli kweli...yaani mtu mzima unachagua hovyo halafu mambo yakiwa hovyo unaanza kulalamika hovyo, duh!
Kutoka uchina hadi kusukuma mabox kariakoo.je watanzania hatuwezi kazi hii?
Kwahiyo unachokimaanisha hapa ni kwamba watanzania ndo wanaostahili kusukuma mabox huko kariakoo...??!!!!
Kutoka uchina hadi kusukuma mabox kariakoo.je watanzania hatuwezi kazi hii?
Watanzania tumerogwa. Nilipokuwa kijana kulikuwa na Waarabu kutoka Yemen wanaitwa washiiri walikuwa wakija kule kwetu Mara kutuuzia kanga, na makorokoro mengine wakati wa msimu wa pamba. Hawa hatukuwaita wawekezaji. Leo anakuja mchuuzi wa Kichina ambaye anafanya kazi ya ulanguzi tunamwita mwekezaji. Yaani kwa Mtanzania mgeni yeyote anayekuja hata kufagia barabara tunamwita mwekezaji. Kwa mtindo huo nchi itaendelea kuliwa tu.
Kwahiyo unachokimaanisha hapa ni kwamba watanzania ndo wanaostahili kusukuma mabox huko kariakoo...??!!!!
Unashangaa kuliwa wakati miaka michache ijayo utakuta mchina kasimamishwa na ccm kugombea uraisi na ubunge
Mmesahau Nyalandu!alisema wageni lazima waondoke kwenye shughuli zinazoweza kufanywa na waTz. Siku hizi kimya. Viongozi wetu wao kazi yao ni kusema tu kama mtu anaota ndoto za mchana.
Acheni ushamba, msipende kutukuza wagani kwamba hawawezi kufanya kazi za ngazi ya chini, watanzania tunajidhalilisha ndo maana mahindi hayataki kufanya kazi za ualimu, uaskali ama unesi kwa sababu yamekwisha jua udhaifu wetu. waacheni wachina wafagie barabara hadi vyoo vyetu kwa bei nafuu kuliko kujitangazia kuwa hizo siyo kazi zao. CCM imeharibu mpaka akili zetu-labda kwa sababu ya kuvuta moshi wa mwenge wa uchawi!
acheni ushamba, msipende kutukuza wagani kwamba hawawezi kufanya kazi za ngazi ya chini, watanzania tunajidhalilisha ndo maana mahindi hayataki kufanya kazi za ualimu, uaskali ama unesi kwa sababu yamekwisha jua udhaifu wetu. Waacheni wachina wafagie barabara hadi vyoo vyetu kwa bei nafuu kuliko kujitangazia kuwa hizo siyo kazi zao. Ccm imeharibu mpaka akili zetu-labda kwa sababu ya kuvuta moshi wa mwenge wa uchawi!