Hawa ndio wanawake wa shoka

Hawa ndio wanawake wa shoka

ishu za kawaida hizi kuziona ukiwa kileji...
 
Wanawake wa hapa mjini hata kuchota maji hawez
 
Kila mahali kunahitaji skills tofauti. Wanawake wa mjini hawana nguvu, hawajasoma na hawaeleweki wanajipatia wapi kipato. Ila wana skills zinazowawezesha kuendesha magari mazuri kila siku, ku_check in kwenye mahoteli ya hadhi mjini pamoja na kuvaa dhahabu. Nimesahau kukaa nyumba nzuri prime areas. Sasa ukija na miguvu hiyo mjini, si utachemsha na maji yanatoka kwenye showers na majaccuzi?
 
Huyo wa kijijini hajui kutikisa kiuno akitembea, hawezi kuvaa lace wig litamchoma choma, akisiribwa make up atajifuta na kitenge (chezea smudge? ). Hajui kujipaka wanja wa kungu machoni na hawezi kutembea na high heels for 12 hrs.
Wanawake wa hapa mjini hata kuchota maji hawez
 
Back
Top Bottom