Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

TOLEO LA 01; HAWA NDIO WANAWAKE

Anaandika, Robert Heriel.

Kuwaelewa wanawake ni moja ya kazi ngumu Kama wengi wasemavyo, Hii ni kutokana na wao kutofautiana wao Kwa wao Kwa kiasi kikubwa licha ya kuwa ni jinsia moja yaani wote ni wanawake, pia tabia Yao ya kubadilika badilika Kama kinyonga inazidi kuwapa changamoto watu wanaotaka kuwaelewa, pia Unafiki na Pretender waliobobea(bobevu).

Bila kupoteza Muda, twende kazi;

1. Wanawake huongozwa zaidi na Hisia na mihemko. Hii inawafanya wawe rahisi kulaghaiwa, kushawishiwa na kuingizwa kingi.

2. Wanawake wao Kwa wao hawaogopani, hii ni kusema hawaheshimiani.
Hivyo Mwanamke hataki kuongozwa au kutawaliwa na Mwanamke mwenzake.

3. Silaha kubwa ya Mwanamke ni Machozi, mdomo na mwisho kabisa ni Uchi wake(UKE)

4. Wanawake wanaelewana wenyewe Kwa wenyewe licha ya kuwa Sisi wanaume tunawaona hawaeleweki.
Mwanamke ni rahisi kujua Next step ya mwanamke mwenzake hasa kwenye ishu za mahusiano.
Yaani mwanamke anauwezo WA kuona mbele ya mwanamke mwenzake kuwa anakutaka, hata kama ndio siku ya Kwanza mumeonana.
Mwanamke anauwezo WA kujua ukienda Kwa mwanamke Fulani utakubaliwa au utakataliwa.

5. Wanawake hawajui na hawana uwezo wa kutambua wanaume wanaowapenda Kwa dhati. Yaani unapoenda kumtongoza mwanamke hajui kuwa unampenda au humpendi. Watakachotumia Kama ishara ya Upendo ni Kupewa vitu vya thamani na Huduma.
Hii huwafanya kulaghaiwa na wanaume wakora.

6. Mwanamke Hapendi mwanaume anayesifia Wanawake wengine mbele yake hasa sifa za kimaumbile, mfano, Yule Dada anasura nzuri Sana, au Ashura anaumbo matata, wengi hawapendi.

7. Wanawake kuna mambo wameyabinafsisha Kama Yao(miliki Yao) Mambo hayo ni UZURI, UREMBO, USAFI, MADEKO, MADAHA, MAPISHI, SAUTI NZURI, UTAMU, MAPOZI, MARINGO, N.K.
Mwanamke ukimsifia katika mambo hayo anajisikia Raha Sana kuliko unavyofikiria.
Ukimsifia mwanamke mwingine katika mambo hayo lazima Mwanamke wako atanuna kwani kila mwanamke anaona mambo hayo ni miliki yake.
Mfano, " Bebe wewe mtamu Kama chocolate"
"Una sauti nzuri Kama mlio wa zumari"
" Mtoto wewe Kwa kudeka umenishinda, yaani Kama mtoto mdogo"
" Napenda unavyoringa Kama Malkia vile, sikomi kukutazama"

Mwanamke haumizwi ukimsifia mwanamke mwingine mambo yasiyo ya kike, mfano mambo ya utawala, nguvu, kupambana n.k.
Mfano, "Ashura ananguvu Kama dume au Simba"
" Hamida anajua kuongoza au kutawala"
Hapo mwanamke hatajisikia vibaya zaidi utasikia akisema, hizo kazi za wanaume mrembo Kama Mimi siwezi kuzifanya.

8. Mwanamke anakuwa na huruma Kwa Mwanaume aliye na Hisia naye za kimapenzi., Mtoto wake, au Baba yake.
Mbali na hapo mwanamke ni kiumbe kisicho na huruma. Hisia zikiisha na huruma zinaisha.
Mwanamke akikutoa moyoni kamwe hawezi kukuhurumia.
Mwanamke akiwa na hisia na wewe yaani anakupenda Kwa upendo wa kike(usio wa dhati), hashindwi kukuhonga na kamwe hahitaji chochote kwako zaidi ya Mapenzi yako.
Pesa sio kitu Kwa mwanamke anayekupenda.
Yeye kila kitu anakuonea huruma na kukutetea sababu ya mihemko na hisia zake za kike(Subiri siku ziishe, utaimba hallelujah)

9. Mwanamke anakuwa na kumbukumbu nzuri kwako ikiwa anahisia na wewe.
Hisia zake kwako zikiisha na wewe amekufuta kwenye kumbukumbu zake, hakumbuki hata kizuri kimoja ulichowahi kumfanyia..
Hapo ndio utamuona Kama Mnyama katili, sijui nilimsomeshe, sijui nilimtoa kijijini hayo hayamhusu.

10. Mwanamke anamtazamo kuwa Yeye ndiye anastahili kupewa vitu vizuri bureburena Mwanaume hata kama hamjuani.
Yaani mwanamke akili zake ni kuwa anaweza kukuomba msaada hapo alafu akataka umpe burebure kisa tuu yeye mwanamke.

11. Mwanamke anaamini kuwa akikupa Penzi lake ndio Malipo ya yote uliyomfanyia. Hata kama umemnunulia Gari la bilioni moja alafu akakupa Papuchi mara moja anaamini papuchi yake imetosha kufidia au kulipa hisani
Hivyo hata akikuacha atakavyojitetea atajiona Hana deni kwako.

Mwanamke uliyemuoa hata Kama hafanyi kazi anaamini kitendo cha kukupa penzi lake kinatosha kumfanya yeye kupata mgao wa Mali nusu Kwa nusu tena ikiwezekana yeye ndio apate zaidi.

12. Mwanamke anapenda Uongo kuliko ukweli hii ni kutokana na Kupenda Sifa na hapendi kuumizwa kihisia.
Mwanamke hata kama amekufumania Red-handed usikubali wala kukiri kosa, kataa tena jitahidi kudanganya kadiri ya uwezo wako wote. Hiyo itapunguza maumivu yake na Kupunguza nafasi ya kukulipa kisasi.
Hata kama ni mbaya na sio mzuri msifie Kwa uongo uongo tuu kadiri uwezavyo, mwanamke Kwa sifa ni Kama pia na mdomo.

13. Mwanamke anavutiwa na Mwanaume upande wa mbele, Kifuani, Usoni, na kwenye Flaizi au Zipu(eneo uume Ulipo).
Wanawake wanakuwa na tamaa ya ngono pale wanapoona Flaizi au zipu imetuna au kuona Uume umejichora kwenye Flaizi au zipu.
Kama vile Sisi wanaume tunavyokuwa na tamaa vyoona Makalio au miraba ya chupi upande wa nyuma kwa wanawake.
Jinsi mwanaume unavyojisikia pale unapoona Maeneo ya nyuma ya mwanamke ndivyo na Mwanamke anavyojisikia anapoona eneo la Flaizi au zipu limetuna. Hii ni kutokana na kuwa wanawake wanapenda uume wa saizi ya Kati kwenda uume Mkubwa.(ingawaje Kwa sababu ya sifa Yao ya Unafiki watakukatalia na kupinga Ila ukweli ndio huo). Hiyo nimefanya uchunguzi mwenyewe.

14. Wanawake wanapenda mashindano wao Kwa wao. Kukomoana wanawake wao Kwa wao ni kitu chakawaida.

15. Mwanamke hapendi kuonewa huruma Bali anapenda kupendwa hasa na mtu anayempenda.

16. Mwanamke hapendi mwanaume mwenye tabia za kike Kwa sababu ya kuona nafasi yake haitaonekana.
Kwa mfano, Mwanaume ukiwa msafi Sana, au ukipenda Kupika pika au vikazi vya nyumbani Automatically hautaona umuhimu wa Mwanamke na hautamthamini tofauti na Mwanaume mwenye tabia za kiume Kama uvivu wa kupika, Kuosha vyombo, Kusafisha nyumba.

Wanawake wanapenda wakifika Kwa mwanaume waone nafasi Yao ipo wazi, lakini wakikuta kila kitu kipo Sawa wanatabia ya kujisikia vibaya au kuona kuwa Kuna mwanamke mwingine anayekusaidia kazi ndio maana kila kitu kipo kwenye mpangilio.

Mwanaume kamili au halisi hawezi ishi bila mwanamke na Hilo ndilo wanawake wanalipenda,
Mwanamke hapendi anapoondoka kwako iwe kaenda kusalimia nyumbani kwao alafu usimwambie kuwa umemiss chakula chake, au umuambie awahi Kurudi kwani kazi za nyumbani na Kupika au Kuosha vyombo kumekushinda,

Sio ajabu akakuambia unatabia za Kike au akishindwa atakuambia unamkera alafu ukiangalia huna ulichomkosea. Kumbe kisa unajitosheleza na nafasi yake ni ndogo kwenye maisha yako.

Mwanamke anapenda unapomwambia unateseka akiwa mbali hiyo itamfanya ajihisi fahari kubwa.

17. Wanawake Wanapenda Wanaume Wazuri, Handsome boy, wenye nguvu.
Asije akakudanganya Mtu wanawake wote Duniani wanapenda wanaume wazuri , wenye nguvu, lakini pia Wajanja wenye Akili.

18. Wanawake wanavutiwa na wanaume Wenye fikra za Udikteta kuliko Demokrasia.
Wanawake wanaenjoi zaidi wakiwa kwenye Udikteta kuliko Demokrasia. Wanawake wanapenda kuamuliwa zaidi kuliko mijadala.
Huwezi sikia Mwanamke akilaumu wanaume wenye kuongoza Kwa ubabe na mara nyingi wanaona huo ndio Uanaume.

Mwanamke anapenda kuchaguliwa kuliko kuchagua mwenyewe, hasa achaguliwe na Mwanaume anayempenda.

Mwanamke anapenda mwanaume anayejua kuwianisha Kati ya Madeko na ubabe. Kuna muda atakataa Jambo ili umbembeleze na kuna muda atakataa Jambo ili umfanyie ubabe/udikteta.

19. Siku ya Kwanza ya Kufanya Sex, mwanamke anajali zaidi utamuonaje, he anavutia au havutii kuliko mchezo wenyewe. Wakati Sisi wanaume tunawaza tutafanyaje ili kutotia aibu.

20. Mwanamke kama anakupenda Sana hachagui sehemu ya kufanyia mapenzi. Hata kichakani utamfanya.

21. Mwanamke ni Bora ucheze na Akili yake kuliko kucheza na Hisia zake. Ndio maana wanapenda Playboy Kwa sababu maplayer wanajua kucheza na akili zao.

22. Wanawake wanapenda vitu vipya. Ndio maana mwanaume anayewajua hupeleka Zawadi mara Kwa mara. Kupenda vitu vipya kuna wafanya wapende mitindo na fasheni kila nguo au simu inayotoka wanatamani nao wamiliki. Zingatia hawapendi mambo makubwa Kama majumba au magari makubwa Hasha!
Wakati Sisi wanaume tunapenda Wanawake Wapya .

23. Wanawake ni Wapelelezi.
Hakuna kiumbe mfukunyuku na mchunguzi Kama Mwanamke. Unapoishi na Mwanamke hili uliweke kichwani.

24. Wanawake Wana Siri nzito mioyoni.
Ulikuwa unaambiwa wanawake hawana vifua ukaamini Kwa taarifa yako wanawake hawawezi kukaa na Siri ndogo ndogo kifuani lakini Siri nzito wanauwezo wa kuzificha hasa zinazowahusu wao wenyewe.
Pia Mwanamke anaweza akawa amekufuatilia na akajua unam-cheat lakini akakausha akajifanya Kama hajui. Sasa Usiombe akawa anakuandalia mpango mbaya.

25. Licha ya kuwa Wanawake hawapendi kuolewa Wake wenza lakini Wanawake waliowengi walishawahi kumuona mwanamke Fulani mzuri wakatamani angekuwa Mke mwenza. Tatizo wanapofikiria suala la upendo ndio shida inapoanzia wakihofia huenda mume wake atampenda zaidi huyo mke mwingine kuliko yeye.

26. Mwanamke anapenda kupendwa kuliko kupewa pesa.
Zingatia wanawake wanapenda pesa ili wazidi kupendwa na wanaume. Wanataka wavae vizuri wapendeze ili wazidi kuwavutia wanaume.

27. Mwanamke ni Bora akose Pesa na Elimu kuliko kukosa Uzuri na mvuto.

28. Kumsema mwanamke kuwa ni mjinga au sifa zingine mbaya halimsumbui akili. Wanawake wanaweza vumilia matusi na kashfa zote lakini kamwe hawawezi vumilia kashfa ya Umalaya au UCHAFU, au Ubaya wa maumbile.
Mkeo mtukane utakavyoweza lakini kuna maneno hupaswi kuyatamka wanajisikia vibaya mno, uchafu, umalaya, au Sura mbaya au maumbile Fulani ya Mwili sio mazuri au sio mtamu.

29. Wanawake ni wajeuri Kwa wanaume wasiowafikisha au kuwaridhisha kimapenzi. Hakuna mwanamke jeuri Kwa mwanaume anayemkojoza.

30. Mwanamke anaweza kukutii na kukuheshimu Kwa miaka hata 100 Kwa sababu ya shida zake, umasikini wake. Shida zikiisha umekwisha.


Leo tuishie hapa.


Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
No 30 umeua
 
Duh aisee hii ndo maana halisi tutafika jehanam tumechoka kinyama....


Mimi Nilikuwa mlevi mzur nikilewa Sana pombe Kali Basi fujo lake Lazima ningombane na wife Kuna siku nimelewa nikamwita mjini tukanunua nyama tukachukua bodaboda moja kurudi home..tulipofika home me bado Nina arosto na konyagi nikamwambia wife we nenda kaandae mboga me narudi town Mara moja...alichonijib Sasa eti "wanaume wengine mnazurura Kama mnafirwa iliniuma Sana yaani mbele ya bodaboda nilichofanya nikamwacha nikaenda town kuongeza vitu jioni nilimpiga mpk akakoma ikabidi mwenyekiti was mtaa apewe taarifa kwamba naua Huku...

Ikashauriwa tuachane kwa muda...baadae wife anapiga Simu kwamba arudi me nishamuacha sina Tena hisia naye kwa lile tusi...nikimkumbusha lile tusi ye anasema mbona na Mimi Nilikuwa namtukana.ina maana ye hajuagi kutofautisha nikiwa sijalewa na nikiwa maji..huduma zote Nilikuwa nampatia Sasa nataka nijaribu MWanamke mfanyakazi aliyesoma Huku na Mimi nimekata pombe sinywi Tena toka litokee Hilo tukio Nina mwezi ili sasa nione na wao inakuaje niishi naye hata miezi mitatu nitawapa update.

Huyo mwanamke Hana adabu. Sijui ulimuokotea wapi.
Hilo tusi Kwa Wanawake wanaojielewa halipo katika kamusi yao
 
Duh aisee hii ndo maana halisi tutafika jehanam tumechoka kinyama....


Mimi Nilikuwa mlevi mzur nikilewa Sana pombe Kali Basi fujo lake Lazima ningombane na wife Kuna siku nimelewa nikamwita mjini tukanunua nyama tukachukua bodaboda moja kurudi home..tulipofika home me bado Nina arosto na konyagi nikamwambia wife we nenda kaandae mboga me narudi town Mara moja...alichonijib Sasa eti "wanaume wengine mnazurura Kama mnafirwa iliniuma Sana yaani mbele ya bodaboda nilichofanya nikamwacha nikaenda town kuongeza vitu jioni nilimpiga mpk akakoma ikabidi mwenyekiti was mtaa apewe taarifa kwamba naua Huku...

Ikashauriwa tuachane kwa muda...baadae wife anapiga Simu kwamba arudi me nishamuacha sina Tena hisia naye kwa lile tusi...nikimkumbusha lile tusi ye anasema mbona na Mimi Nilikuwa namtukana.ina maana ye hajuagi kutofautisha nikiwa sijalewa na nikiwa maji..huduma zote Nilikuwa nampatia Sasa nataka nijaribu MWanamke mfanyakazi aliyesoma Huku na Mimi nimekata pombe sinywi Tena toka litokee Hilo tukio Nina mwezi ili sasa nione na wao inakuaje niishi naye hata miezi mitatu nitawapa update.
Aisee hilo tusi ningeua mtu
 
Nimeona yule hakimu mwanamke anaendesha kesi ya zumarid kagoma kujitoa baada ya kuombwa kufanya hivyo. Hapa naona ana nia ya kumkomoa mwanamke mwenzake aliyefanikiwa kimaisha kupitia huduma ya kanisa.
 
Wanawake hawaeweki, ukijiona unawajua sana wanawake jua kwamba sikuzako zinakaribia
🤣🤣🤣🤣🤣kuna mwanamke ananipendaga mme wake akimzingua wakishapatana ananipotezea kama hanijui yani
 
Ndo maana mahusiano ni vigumu Sana kudumu maana hivi vigezo vya kumridhisha mwanamke unaweza ukawa navyo kwa mda then hisia zake zikihama imekula kwako
 
Back
Top Bottom