Hawa Ndio wanasiasa bora wa upinzani

Hawa Ndio wanasiasa bora wa upinzani

Kuna British English, American English, hiyo ni Tanzania English kama kilivyo kiswahili kiko cha kenya, Tanzania burundi, Kongo nk wewe ulitaka niongee kiingereza cha nchi gani?kwani mimi naishi nchi ipi?
Nimekuelewa Bashiteless..
 
Mimi ukiniuliza kama CCM ni nani mwanasiasa bora wa upinzani kwa kuwa rank ambao tu ni bahati mbaya walijiunga na vyama ambavyo haviwezi wafikisha mbali kuliko uwezo wao ni. 1.mbunge nasssari 2.profesa lipumba 3.mbunge WA chadema tunduma 4.godlisten malisa 5.zito kabwe.6.upendo peneza Hawa wangekuwa chama tawala wangekuwa mbali mno kisiasa .wako fit Sana kisiasa ila mlengo waliochagua Future zao kisiasa kwenye upinzani hazifiki mbali
Vivhaa com mnazidi kuongezeka, au ndio fashion kila my a afafane naye?
 
Unamzungumzia lipumba huyu huyu au kuna mwingine?
 
Back
Top Bottom