Hawa Ndio wanasiasa bora wa upinzani

Hawa Ndio wanasiasa bora wa upinzani

Tatizo wabongo tunaakili mnato kweli kweli shida zote hizi tulizokuwa nazo yani kuna MTU eti anaisifia CCM
 
Bulaya kaamua kwenda chezea vumbi..kuna Deo mnyika pia..
 
Malisa GJ umemtaja kama nani, ni kopo tu huyo,mkurupukaji
No no no kwa assessment yangu malisa yuko vizuri kisiasa sema tu aliko hana room ya kugrow kwenda mbali kufikia hatima yake ambayo Mungu alimuumbia. Environment determines sometimes how far someone can go. Hao niliowataja wako wrong environmentaly wasipofikia hatima zao it is not Up to God it is up to them
 
Ndivyo mbowe anavyotaka muamini ili ruzuku na michango ya chama iendelee kutunissha mfuko wake na JOYCE MUKYA
Unaionea Gere sana nafasi ya Joyce Mukya. Andaa KY mzee uje kwangu nikupe RUZUKU
 
Mimi ukiniuliza kama CCM ni nani mwanasiasa bora wa upinzani kwa kuwa rank ambao tu ni bahati mbaya walijiunga na vyama ambavyo haviwezi wafikisha mbali kuliko uwezo wao ni. 1.mbunge nasssari 2.profesa lipumba 3.mbunge WA chadema tunduma 4.godlisten malisa 5.zito kabwe.6.upendo peneza Hawa wangekuwa chama tawala wangekuwa mbali mno kisiasa .wako fit Sana kisiasa ila mlengo waliochagua Future zao kisiasa kwenye upinzani hazifiki mbali
Kumbe ndio maana mzazi wako analia sana kumbe anayo sababu maskin.
 
Naona umetumwa na RPC ili umkamate IGP sasa hapa umebugi nenda kajipange upya
 
Mimi ukiniuliza kama CCM ni nani mwanasiasa bora wa upinzani kwa kuwa rank ambao tu ni bahati mbaya walijiunga na vyama ambavyo haviwezi wafikisha mbali kuliko uwezo wao ni. 1.mbunge nasssari 2.profesa lipumba 3.mbunge WA chadema tunduma 4.godlisten malisa 5.zito kabwe.6.upendo peneza Hawa wangekuwa chama tawala wangekuwa mbali mno kisiasa .wako fit Sana kisiasa ila mlengo waliochagua Future zao kisiasa kwenye upinzani hazifiki mbali
Mbona BASHITE(0) HUJAMTAJA?.
 
Kwenu matahira ndio wengi
 
Back
Top Bottom