SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,096
- 75,541
Mtoto amtoe wapi Dume suruali huyo buku 7 inawezaje kutunza familia?
Una maana yeye ndiyo chakula? Na Siku hizi posho zimekatwa kabisa hapo kwenye kitengo cha bk7.
Mtoto amtoe wapi Dume suruali huyo buku 7 inawezaje kutunza familia?
Halafu ni mbwiga pia.Mleta mada jinga
Nadhani unatumia Uhuru wako wa kutoa maoni vibaya haiwezekani kuchangia bila kutaja watu jadili mada we mbululaNdivyo mbowe anavyotaka muamini ili ruzuku na michango ya chama iendelee kutunissha mfuko wake na JOYCE MUKYA
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Umemsahau na Makonda.
Umewapata kwa kutumia vigezo gani?Mimi ukiniuliza kama CCM ni nani mwanasiasa bora wa upinzani kwa kuwa rank ambao tu ni bahati mbaya walijiunga na vyama ambavyo haviwezi wafikisha mbali kuliko uwezo wao ni. 1.mbunge nasssari 2.profesa lipumba 3.mbunge WA chadema tunduma 4.godlisten malisa 5.zito kabwe.6.upendo peneza Hawa wangekuwa chama tawala wangekuwa mbali mno kisiasa .wako fit Sana kisiasa ila mlengo waliochagua Future zao kisiasa kwenye upinzani hazifiki mbali
Mimi ukiniuliza kama CCM ni nani mwanasiasa bora wa upinzani kwa kuwa rank ambao tu ni bahati mbaya walijiunga na vyama ambavyo haviwezi wafikisha mbali kuliko uwezo wao ni. 1.mbunge nasssari 2.profesa lipumba 3.mbunge WA chadema tunduma 4.godlisten malisa 5.zito kabwe.6.upendo peneza Hawa wangekuwa chama tawala wangekuwa mbali mno kisiasa .wako fit Sana kisiasa ila mlengo waliochagua Future zao kisiasa kwenye upinzani hazifiki mbali
English ya wapi hiyo?? Kolomije au...No no no kwa assessment yangu malisa yuko vizuri kisiasa sema tu aliko hana room ya kugrow kwenda mbali kufikia hatima yake ambayo Mungu alimuumbia. Environment determines sometimes how far someone can go. Hao niliowataja wako wrong environmentaly wasipofikia hatima zao it is not Up to God it is up to them
Kuna watu wana akili toka walivyozaliwa..na wanaendesha maisha kuliko wasomi,wewe unazungumzia kiwango cha elimu.elimu bila akili ya kutafuta pesa na kufikilia kuajiliwa tu hiyo ndiyo elimuElimu yako ni ya kiwango kipi?
Tuanzie hapoo si kwa uandishi huo wa kibashte bashite...
Kuna British English, American English, hiyo ni Tanzania English kama kilivyo kiswahili kiko cha kenya, Tanzania burundi, Kongo nk wewe ulitaka niongee kiingereza cha nchi gani?kwani mimi naishi nchi ipi?English ya wapi hiyo?? Kolomije au...
Kwani ili ufike mbali huko unakojua wewe ni lazima uwe ccm! Basi hii nayo ni miujiza ya karne kwa huu uzi wako.Mimi ukiniuliza kama CCM ni nani mwanasiasa bora wa upinzani kwa kuwa rank ambao tu ni bahati mbaya walijiunga na vyama ambavyo haviwezi wafikisha mbali kuliko uwezo wao ni. 1.mbunge nasssari 2.profesa lipumba 3.mbunge WA chadema tunduma 4.godlisten malisa 5.zito kabwe.6.upendo peneza Hawa wangekuwa chama tawala wangekuwa mbali mno kisiasa .wako fit Sana kisiasa ila mlengo waliochagua Future zao kisiasa kwenye upinzani hazifiki mbali
Anahangaika na sisi humu wkt mwenzake Daud Bashite kajitoa muhangaUna maana yeye ndiyo chakula? Na Siku hizi posho zimekatwa kabisa hapo kwenye kitengo cha bk7.