Hawa ndio wanaokula mema ya Rais Magufuli

Amani itawale.

Tangu kuingia madarakani kwa Rais Magufuli watu wengi wamekuwa wakihoji ni nani hasa anayenufaika na huu utawala..
Malalamiko mengi yamekuwa yakitolewa na watetea mafisadi wa ufipa kwamba zama za Rais Magufuli kila mtu anaisoma namba wala hamna mwenye nafuu.

Lakini uchunguzi niliofanya umenipa majibu tofauti kabisa.
Watu wafuatao wanakula mema ya Rais Magufuli kwa sana tu na hawataki kabisa atoke madarakani.

1. Wamachinga
Kabla ya Rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa ni balaa tupu ,kila siku walichezea vipigo na kuchukuliwa bidhaa na mgambo.
Leo ndani ya utawala wa Rais Magufuli wamachinga wanafanya biashara ndani ya jiji bila shida yoyote.
Kwa nini wasimpende Magufuli?

2. Wakulima
Chini ya utawala wa Rais Magufuli kodi zote za ajabu ajabu zimefutwa hivyo kuongeza tija kwa wakulima.
Mazao ya chai ,korosho, Pamba, mpunga, tumbaku yalikuwa na kodi zaidi ya kumi!!!
Sasa kwa nini wasimpende Rais Magufuli??

3. Wafugaji
Kabla ya Rais Magufuli kuwa mfugaji ilikuwa adhabu tosha.
Ukipeleka kuuza Ng'ombe mnadani unakutana na kodi ya kwato na pembe!!

Chini ya Magufuli hizo kodi zote zimefutwa. Sasa wafugaji wanafanya biashara zao kwa raha na kujiongezea kipato.

Pia watu wa vijijini walikuwa wananyanyaswa sana wakienda kwenye huduma za serikali ,lakini sasa hivi wanaheshimika na kuhudumiwa vizuri.

Sasa hutaki wampende Magufuli ili wakupende wewe mtetea mafisadi?

Watetea mafisadi wote wajue kupambana na mtu ambaye siyo Mnafiki inahitaji timing na akili nyingi .

Magufuli siyo mnafiki ,nyeupe anasema nyeupe na nyeusi anasema nyeusi.

Wanasiasa wengi wamezoea kusema nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi.
Nawambieni watapata shida enzi ya Magufuli.

Asante Jakaya Kikwete kwa kutuachia Rais Magufuli mafisadi wanafungasha virago wenyewe na kuiacha Tanzania yetu.
Wewe upo kundi gani hapo?
 
[emoji125] [emoji13]
 
Wenye kazi na shughuli zao halali wamerihika na wanafurahia utendaji mzuri wa serikali. Wanaopiga kelele ni wale mafisadi, wezi, wakwepa kodi na majipu waliokuwa wanalipwa mishahara hewa. Wengine ni waliofoji vyeti vya taaluma.

Serikali ya JPM haihitaji wanyonyaji na wapiga dili. Ni Kazi Tu.
Kama DAB mkuu
 
Ulilima kama nyumbu,wenzio kabla ya kulima wanafanya market research, wanatambua competitors, other competing products, existing market, una identify market segment yako, unatambua its needs and purchasing power, una buni na kuweka added value katika bidhaa yako, unaitangaza, na ikiwezekana unafanya prior agreement then unazalisha.

Kulima kwa ana ana do kumebaki na watu wenye akili za kinyumbu, wanafuata uelekeo wa aliye mbele pasipo kujua nini kimetokea au wanaenda wapi.

Usifikirie Tz itakufanyia nini, we we ndiye ifanyie kitu tz na utaifanyia kitu utapoanza kutafakari na kufanya mambo kwa kuzingatia weledi.
Hawa watu wa ufipa kazi kusifia Mbowe tu
 
Akili za nyie msio lima mnazijua wenyewe,sisi tunaowekeza fedha zetu kwenye kilimo tu najua uchungu wake,wewe ulinunua mahindi kwa elfu 20 kwa debe ni kutokana na ujinga wako uliochanganyika na uvivu wa mwili na akili,ninapoweka fedha yangu shamba na Mimi nataka faida kama wafanyabiashara wengine au hufahamu kua kilimo sio huduma? Kilimo ni biashara Mjomba watu tunawekeza humo na tu nataka baada ya kuvuna tupate masoko mazuri ili turudishe fedha zetu zikiwa na faida,binafsi sijauza mahindi yangu mpaka sasa maana siwezi yauza kwa bei ya soko lililopo la sh. 30 elfu mpaka 40 ni hasara kwangu
tatizo mnasahau sana kama mahindi yalipanda bei hadi 30000 kwa debe mkaanza kulalamika maisha magumu sasa hivi yameshuka mnalalamika tena.
 
Wamachinga kufanya biashara kila kona sawa ila pesa wanapata? Usiandike kama unawaandikia zygote humu.
 
mmengi umeacha , ngoja nikukumbushe:-
1. mauaji na mipagano wafugaji na wakulima unayajua?
2. sheria mpya ya Ardhi umeisikia au?
3. Bei ya mazao kwli umejiridhisha iupo vizuri this time? manaa FIWI/GWARA huko arusha na same bei ipo hoi, mahindi bei hoi, Mbaazi na dengu huko kusini bei hoi, hatuna uwakika na korosho sijuhi itakuwaje.
 
Katika hao wote uliowataja unaweza kutwambia waningiza kiasi gani kama ni kodi TRA? Maisha ni JAZA UJAZWE!
 
Amani itawale.

Tangu kuingia madarakani kwa Rais Magufuli watu wengi wamekuwa wakihoji ni nani hasa anayenufaika na huu utawala..
Malalamiko mengi yamekuwa yakitolewa na watetea mafisadi wa ufipa kwamba zama za Rais Magufuli kila mtu anaisoma namba wala hamna mwenye nafuu.

Lakini uchunguzi niliofanya umenipa majibu tofauti kabisa.
Watu wafuatao wanakula mema ya Rais Magufuli kwa sana tu na hawataki kabisa atoke madarakani.

1. Wamachinga
Kabla ya Rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa ni balaa tupu ,kila siku walichezea vipigo na kuchukuliwa bidhaa na mgambo.
Leo ndani ya utawala wa Rais Magufuli wamachinga wanafanya biashara ndani ya jiji bila shida yoyote.
Kwa nini wasimpende Magufuli?

2. Wakulima
Chini ya utawala wa Rais Magufuli kodi zote za ajabu ajabu zimefutwa hivyo kuongeza tija kwa wakulima.
Mazao ya chai ,korosho, Pamba, mpunga, tumbaku yalikuwa na kodi zaidi ya kumi!!!
Sasa kwa nini wasimpende Rais Magufuli??

3. Wafugaji
Kabla ya Rais Magufuli kuwa mfugaji ilikuwa adhabu tosha.
Ukipeleka kuuza Ng'ombe mnadani unakutana na kodi ya kwato na pembe!!

Chini ya Magufuli hizo kodi zote zimefutwa. Sasa wafugaji wanafanya biashara zao kwa raha na kujiongezea kipato.

Pia watu wa vijijini walikuwa wananyanyaswa sana wakienda kwenye huduma za serikali ,lakini sasa hivi wanaheshimika na kuhudumiwa vizuri.

Sasa hutaki wampende Magufuli ili wakupende wewe mtetea mafisadi?

Watetea mafisadi wote wajue kupambana na mtu ambaye siyo Mnafiki inahitaji timing na akili nyingi .

Magufuli siyo mnafiki ,nyeupe anasema nyeupe na nyeusi anasema nyeusi.

Wanasiasa wengi wamezoea kusema nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi.
Nawambieni watapata shida enzi ya Magufuli.

Asante Jakaya Kikwete kwa kutuachia Rais Magufuli mafisadi wanafungasha virago wenyewe na kuiacha Tanzania yetu.

Umesahau na wafanyakazi wachapa kazi na wasiojihusisha na rushwa na wanaendesha maisha yao kwa kutegemea mshahara ambao huingia kwenye accounts zao bila kuchelewa pia wanampenda JPM
 
Mleta thread, tatizo lako hujui hata hali ya masoko ya mazao ilivyo bali umeambiwa wewe ukamwagika tu bila hata kufanya kautafiti kdg. nakushauri pambana na hali yako ama sivyo itaendelea kuwa mbaya kuliko ilivyo hivi sasa.
 
Ni kana kwamba tunaishi nchi mbili tofauti....
 
Mtoa Uzi unaishi Tanzania hii kweli!? Ukamataji wa ng'ombe wa wafugaji na kupigwa mnaada umeusahau!? Pembejeo za kilimo zilzokuwa zinatolewa bila ruzuku zipo kwel!? Huku kwetu wafanyabiashara ndogondogo wanatozwa kodi tena zisizokuwa na maana yoyote!! Nahisi utawala wa Magufuli ungekuwa unayafanya haya nafikiri ni wafanyakazi tu wangekuwa wanalia!!!
 
Amani itawale.

Tangu kuingia madarakani kwa Rais Magufuli watu wengi wamekuwa wakihoji ni nani hasa anayenufaika na huu utawala..
Malalamiko mengi yamekuwa yakitolewa na watetea mafisadi wa ufipa kwamba zama za Rais Magufuli kila mtu anaisoma namba wala hamna mwenye nafuu.

Lakini uchunguzi niliofanya umenipa majibu tofauti kabisa.
Watu wafuatao wanakula mema ya Rais Magufuli kwa sana tu na hawataki kabisa atoke madarakani.

1. Wamachinga
Kabla ya Rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa ni balaa tupu ,kila siku walichezea vipigo na kuchukuliwa bidhaa na mgambo.
Leo ndani ya utawala wa Rais Magufuli wamachinga wanafanya biashara ndani ya jiji bila shida yoyote.
Kwa nini wasimpende Magufuli?

2. Wakulima
Chini ya utawala wa Rais Magufuli kodi zote za ajabu ajabu zimefutwa hivyo kuongeza tija kwa wakulima.
Mazao ya chai ,korosho, Pamba, mpunga, tumbaku yalikuwa na kodi zaidi ya kumi!!!
Sasa kwa nini wasimpende Rais Magufuli??

3. Wafugaji
Kabla ya Rais Magufuli kuwa mfugaji ilikuwa adhabu tosha.
Ukipeleka kuuza Ng'ombe mnadani unakutana na kodi ya kwato na pembe!!

Chini ya Magufuli hizo kodi zote zimefutwa. Sasa wafugaji wanafanya biashara zao kwa raha na kujiongezea kipato.

Pia watu wa vijijini walikuwa wananyanyaswa sana wakienda kwenye huduma za serikali ,lakini sasa hivi wanaheshimika na kuhudumiwa vizuri.

Sasa hutaki wampende Magufuli ili wakupende wewe mtetea mafisadi?

Watetea mafisadi wote wajue kupambana na mtu ambaye siyo Mnafiki inahitaji timing na akili nyingi .

Magufuli siyo mnafiki ,nyeupe anasema nyeupe na nyeusi anasema nyeusi.

Wanasiasa wengi wamezoea kusema nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi.
Nawambieni watapata shida enzi ya Magufuli.

Asante Jakaya Kikwete kwa kutuachia Rais Magufuli mafisadi wanafungasha virago wenyewe na kuiacha Tanzania yetu.
Haya wasalimie
 
Ongezea hapo nyumba za ibada, sasa tunanufaika, hata kwaya ikitumbuiza kelele za shangwe zinakuwa nyingi.
 
Mbona wewe hujajitaja kumiliki smartphone na kuwa na uwezo wa kununua bundle la Internet mpaka kufika JF na wewe ni mnufaika wa awamu ya bwana yule
 
Back
Top Bottom