Hawa ndio wanaokula mema ya Rais Magufuli

Mkuu,soko la mbaazi liko wapi nikauze zangu? Mwaka huu tumepata pigo kubwa wakulima wa mbaazi. Ni maumivu makali ya hasara kubwa. Mbaazi zimetubwaga na kutupoteza. Maumivu!
Soko la mbaazi linafanyiwa kazi. Hiyo ni moja ya changamoto ya masoko ya mazao na tatizo haliko kwenye mbaazi tu mazao mengi bei zimeshuka km pamba,mkonge,karafuu,kahawa,tumbaku n.k. lkn yapo yaliyokuwa yameshuka sasa yamepanda km korosho, mihogo,tangawizi,mchaichai,asali,zabibu n.k.
 
Huu uhuru wa kuongea utatupeleka pabaya.
Utafiti gani ambao hauna takwimu?
Tuacheni porojo kwa ajili ya kujipendekeza au kujifurahisha.
 
Wenye kazi na shughuli zao halali wamerihika na wanafurahia utendaji mzuri wa serikali. Wanaopiga kelele ni wale mafisadi, wezi, wakwepa kodi na majipu waliokuwa wanalipwa mishahara hewa. Wengine ni waliofoji vyeti vya taaluma.

Serikali ya JPM haihitaji wanyonyaji na wapiga dili. Ni Kazi Tu.
Wakati mwingine ni ngumu humu kujua mtu anayemaanisha anayosema na yule anayekebehi!
 
Mkuu,soko la mbaazi liko wapi nikauze zangu? Mwaka huu tumepata pigo kubwa wakulima wa mbaazi. Ni maumivu makali ya hasara kubwa. Mbaazi zimetubwaga na kutupoteza. Maumivu!
Tanzania ina mazao mengi ,siyo mbaazi tu
 
Yaani upo tayari kuibiwa tanzanite mradi upate pa kuuzia mbaazi?
Wa tanzanite mwachie wa tanzanite, sisi wa mbaazi tunataka soko lililopotea lirudi, kwani tumepata hasara kubwa sana kwa kukosa soko tulilo lizoea.
Kila mtu ana biashara zake tofauti na mwingine ndio maana kuna mgawanyo wa kazi.
 
Mkuu,soko la mbaazi liko wapi nikauze zangu? Mwaka huu tumepata pigo kubwa wakulima wa mbaazi. Ni maumivu makali ya hasara kubwa. Mbaazi zimetubwaga na kutupoteza. Maumivu!
Kitendo cha kumsukasuka Manji kwa siku zaid ya 70
Ndio kimesababisha Mbaazi kukosa soko huko India

Ingawa sasa SRKL imemalizana naye kimyakimya, lakini kwa hali ya kawaida Manji hawez kuiamin tena hii SRKL.

The same case na HUYO, SRKL ikimalizana naye kimya kimya at least 5 - 7 days, atarudishwa tu.

Note: Mfalme wa Saudia Arabia amekubali kutengua uteuzi wa Mrithi wa kiti cha Ufalme Crown Prince MBC baada ya kadhia ya Mwandishi Jamal Khashoghi

Hii inajili baada ya shinikizo kutoka hapa Washington DC kutokana na Crown Prince MBC kuagiza kuuwawa kwa Mwandishi
 
Wenye kazi na shughuli zao halali wamerihika na wanafurahia utendaji mzuri wa serikali. Wanaopiga kelele ni wale mafisadi, wezi, wakwepa kodi na majipu waliokuwa wanalipwa mishahara hewa. Wengine ni waliofoji vyeti vya taaluma.

Serikali ya JPM haihitaji wanyonyaji na wapiga dili. Ni Kazi Tu.
Mimi ni mwalimu lakini hapana!
 
Mkuuu akili huna....!!! Hujawahi kufanya biashara yoyote hata kilimo hujui...kaaa kimya..!!
Mmachinga atamuuzia nani kama wateja wake hawana pesa hata wakimruhusu apange bidhaa zake hadi ikulu...!!

Mkulima amenufaika hivi...pembejeo ziko wapi??...bajeti ya mbolea imeongezwa sh.ngapi?? Wapi kuna soko la uhakika hasa mazao ya biashara..!! Mazao ya chakula kila siku yanaporomoka bei!!!?? Unafikiri production cost ikiwa kubwa mkulima ananufahika vipi???

Viazi mbeya wanauza kwa bei ya hasara kila siku wanalalamika kukosa wateja na hii inasababishwa na kudorora kwa uchumi...!!!
ALU dawa ya Malaria inauzwa sh. 6,000/- badala ya 2,000/-. RAIA si wataisha!!!!!
 
Amani itawale.

Tangu kuingia madarakani kwa Rais Magufuli watu wengi wamekuwa wakihoji ni nani hasa anayenufaika na huu utawala..
Malalamiko mengi yamekuwa yakitolewa na watetea mafisadi wa ufipa kwamba zama za Rais Magufuli kila mtu anaisoma namba wala hamna mwenye nafuu.

Lakini uchunguzi niliofanya umenipa majibu tofauti kabisa.
Watu wafuatao wanakula mema ya Rais Magufuli kwa sana tu na hawataki kabisa atoke madarakani.

1. Wamachinga
Kabla ya Rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa ni balaa tupu ,kila siku walichezea vipigo na kuchukuliwa bidhaa na mgambo.
Leo ndani ya utawala wa Rais Magufuli wamachinga wanafanya biashara ndani ya jiji bila shida yoyote.
Kwa nini wasimpende Magufuli?

2. Wakulima
Chini ya utawala wa Rais Magufuli kodi zote za ajabu ajabu zimefutwa hivyo kuongeza tija kwa wakulima.
Mazao ya chai ,korosho, Pamba, mpunga, tumbaku yalikuwa na kodi zaidi ya kumi!!!
Sasa kwa nini wasimpende Rais Magufuli??

3. Wafugaji
Kabla ya Rais Magufuli kuwa mfugaji ilikuwa adhabu tosha.
Ukipeleka kuuza Ng'ombe mnadani unakutana na kodi ya kwato na pembe!!

Chini ya Magufuli hizo kodi zote zimefutwa. Sasa wafugaji wanafanya biashara zao kwa raha na kujiongezea kipato.

Pia watu wa vijijini walikuwa wananyanyaswa sana wakienda kwenye huduma za serikali ,lakini sasa hivi wanaheshimika na kuhudumiwa vizuri.

Sasa hutaki wampende Magufuli ili wakupende wewe mtetea mafisadi?

Watetea mafisadi wote wajue kupambana na mtu ambaye siyo Mnafiki inahitaji timing na akili nyingi .

Magufuli siyo mnafiki ,nyeupe anasema nyeupe na nyeusi anasema nyeusi.

Wanasiasa wengi wamezoea kusema nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi.
Nawambieni watapata shida enzi ya Magufuli.

Asante Jakaya Kikwete kwa kutuachia Rais Magufuli mafisadi wanafungasha virago wenyewe na kuiacha Tanzania yetu.
UNA SHAMBA AU MIFUGO JIBU NDO TUZUNGUMZE VZR MM NIKO HUKO MWAKA WA 7
 
Kwani lazima?

Yeye kasema kile anachokiona tuu.

Hakuna haja ya kumbeza
Amesema akiwa nyuma ya keyboard Umeulizia Dawa za mifungo chanjo soko la mazao ya mifugo na Nafaka, pembejeo feki na ghali. Mfuko wa urea 75000 bei ya mahindi Gunia wakati wa msimu hadi 25000 Kuna changamoto nyingi Kuliko kufaidi......tumeona wafugaji wakunyanganywa mifugo kwankuingia hifadhini wanatozwa gains za mamilioni any way nia ni njema ila uhalisia una changamoto nyingi
 
Amani itawale.

Tangu kuingia madarakani kwa Rais Magufuli watu wengi wamekuwa wakihoji ni nani hasa anayenufaika na huu utawala..
Malalamiko mengi yamekuwa yakitolewa na watetea mafisadi wa ufipa kwamba zama za Rais Magufuli kila mtu anaisoma namba wala hamna mwenye nafuu.

Lakini uchunguzi niliofanya umenipa majibu tofauti kabisa.
Watu wafuatao wanakula mema ya Rais Magufuli kwa sana tu na hawataki kabisa atoke madarakani.

1. Wamachinga
Kabla ya Rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa ni balaa tupu ,kila siku walichezea vipigo na kuchukuliwa bidhaa na mgambo.
Leo ndani ya utawala wa Rais Magufuli wamachinga wanafanya biashara ndani ya jiji bila shida yoyote.
Kwa nini wasimpende Magufuli?

2. Wakulima
Chini ya utawala wa Rais Magufuli kodi zote za ajabu ajabu zimefutwa hivyo kuongeza tija kwa wakulima.
Mazao ya chai ,korosho, Pamba, mpunga, tumbaku yalikuwa na kodi zaidi ya kumi!!!
Sasa kwa nini wasimpende Rais Magufuli??

3. Wafugaji
Kabla ya Rais Magufuli kuwa mfugaji ilikuwa adhabu tosha.
Ukipeleka kuuza Ng'ombe mnadani unakutana na kodi ya kwato na pembe!!

Chini ya Magufuli hizo kodi zote zimefutwa. Sasa wafugaji wanafanya biashara zao kwa raha na kujiongezea kipato.

Pia watu wa vijijini walikuwa wananyanyaswa sana wakienda kwenye huduma za serikali ,lakini sasa hivi wanaheshimika na kuhudumiwa vizuri.

Sasa hutaki wampende Magufuli ili wakupende wewe mtetea mafisadi?

Watetea mafisadi wote wajue kupambana na mtu ambaye siyo Mnafiki inahitaji timing na akili nyingi .

Magufuli siyo mnafiki ,nyeupe anasema nyeupe na nyeusi anasema nyeusi.

Wanasiasa wengi wamezoea kusema nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi.
Nawambieni watapata shida enzi ya Magufuli.

Asante Jakaya Kikwete kwa kutuachia Rais Magufuli mafisadi wanafungasha virago wenyewe na kuiacha Tanzania yetu.

Umewasahau wapiga debe waliojazana kwenye stendi za mabasi wakiwabugudhi na kuwaibia watu.

CCM hoye!
 
Wamachinga: Tuko tayari kuandamana 2025 rais aendelee kubaki madarakani

Vipi, wapiga debe waliopo kwenye ma stendi ya mabasi wakiwabugudhi na kuwaibia wasafiri kwa baraka za serikali hii? Nao wamo kwenye hiyo orodha ya waandamanaji?

CCM hoyeee!
 
Wenye kazi na shughuli zao halali wamerihika na wanafurahia utendaji mzuri wa serikali. Wanaopiga kelele ni wale mafisadi, wezi, wakwepa kodi na majipu waliokuwa wanalipwa mishahara hewa. Wengine ni waliofoji vyeti vya taaluma.

Serikali ya JPM haihitaji wanyonyaji na wapiga dili. Ni Kazi Tu.
Pamoja na Msukuma Kisheku ambaye pia analalamika biashara zinafungwa!
 
Amani itawale.

Tangu kuingia madarakani kwa Rais Magufuli watu wengi wamekuwa wakihoji ni nani hasa anayenufaika na huu utawala..
Malalamiko mengi yamekuwa yakitolewa na watetea mafisadi wa ufipa kwamba zama za Rais Magufuli kila mtu anaisoma namba wala hamna mwenye nafuu.

Lakini uchunguzi niliofanya umenipa majibu tofauti kabisa.
Watu wafuatao wanakula mema ya Rais Magufuli kwa sana tu na hawataki kabisa atoke madarakani.

1. Wamachinga
Kabla ya Rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa ni balaa tupu ,kila siku walichezea vipigo na kuchukuliwa bidhaa na mgambo.
Leo ndani ya utawala wa Rais Magufuli wamachinga wanafanya biashara ndani ya jiji bila shida yoyote.
Kwa nini wasimpende Magufuli?

2. Wakulima
Chini ya utawala wa Rais Magufuli kodi zote za ajabu ajabu zimefutwa hivyo kuongeza tija kwa wakulima.
Mazao ya chai ,korosho, Pamba, mpunga, tumbaku yalikuwa na kodi zaidi ya kumi!!!
Sasa kwa nini wasimpende Rais Magufuli??

3. Wafugaji
Kabla ya Rais Magufuli kuwa mfugaji ilikuwa adhabu tosha.
Ukipeleka kuuza Ng'ombe mnadani unakutana na kodi ya kwato na pembe!!

Chini ya Magufuli hizo kodi zote zimefutwa. Sasa wafugaji wanafanya biashara zao kwa raha na kujiongezea kipato.

Pia watu wa vijijini walikuwa wananyanyaswa sana wakienda kwenye huduma za serikali ,lakini sasa hivi wanaheshimika na kuhudumiwa vizuri.

Sasa hutaki wampende Magufuli ili wakupende wewe mtetea mafisadi?

Watetea mafisadi wote wajue kupambana na mtu ambaye siyo Mnafiki inahitaji timing na akili nyingi .

Magufuli siyo mnafiki ,nyeupe anasema nyeupe na nyeusi anasema nyeusi.

Wanasiasa wengi wamezoea kusema nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi.
Nawambieni watapata shida enzi ya Magufuli.

Asante Jakaya Kikwete kwa kutuachia Rais Magufuli mafisadi wanafungasha virago wenyewe na kuiacha Tanzania yetu.
Wakulima wa korosho wanasemaje?
 
Back
Top Bottom