lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,607
- 2,064
Mimi najiuliza saana zamani watumishi wa umma walikuwa wanapata fedha mbali ya mshahara ni kutokana na Semina pamoja na masurufu ya safari za ndani na nje kwa kada zote.
Sasa hivi naona wanaoathirika ni kada ya kati na chini maana kwao semina zimefutwa pamoja na safari lkn viongozi wa ngazi za juu muda wote wako safarini wakipishana mikoa toka mkoa mmoja na mwingine.
Hivi mafuta ,vipuri vya magari masurufu ya safari si ndo kikundi Fulani kinachofaidika pia viongozi nao wazuiwe kusafiri wakae maofisini watendaji ndo wasafiri na kuwaletea viongozi mrejesho.
Hivi sasa kila waziri yuko kwenye kona ya mkoa Fulani tofauti ya JK ili kuwa nje ya nchi na watawala wake, JPM ndani ya nchi na watawala wake.
Mhhhhhhhhh watulie ofisini vipuri,mafuta na masurufu yetu wanayateketeza peke yao.