Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,706
Kiuhalisia nikiwa kama mmoja ya hao watu wanao changia mapenzi kuwa magumu ni hivi.
Kuna wimbi la vijana wakike kwa wakiume wakilalamika ugumu wa mapenzi na heri wabaki kuwa singo maana mapenzi yanaumiza vichwa.
1. Wanaume walio oa hawa ni watu ambao wameisha oa tayari ila bado wanamichepuko huko nje. Hii ni pale mke anapo kuwa sio sehemu ya refreshment kwa mmewe basi mwanaume anatafuta ka manzi ka kujipozea na kutoka nako out kwenda sehemu za burudani mbali mbali na kuifurahisha nafsi yake kwa asilimia 99. Na kurudi nyumbani kwa mkewe mwepesi na kuanza kubeba upya mizigo ya familia.
2. Wanawake ambao hawaja olewa, hawa ni single ladies ambao wanatoka kimapenzi na wanaume wa watu, na hawa wadada ni ngumu kuwaacha hawa wanaume kwa sababu hawa wanaume wanakuanao nyakati za furaha tu huku za majonzi zinakuwa kwa mke. Ndio maana demu yoyote alie anza kudate na mme wa mtu hawa wanawake kuacha sio rahisi kwani wanapata furaha sana na kuona hakuna sehemu nyingine zaidi ya kwa mme wa mtu.
Ndio maana hawaishi kusema mme wa mtu mtamu kwa sababu wapo kwenye furaha tu hamna karaha....mambo ya sijui tra wameleta makadirio makubwa hayo yatadili na mke ....sijui ada mke ndio atahusika ila mjini kuna kiwanja gani kitamu kitakacho tu spoil ni mchepuko single lady ambae yupo free ,hana mume wa kumuongoza.
Ndio maana wanaume ambao hawajaoa ni ngumu sana kupata mke kwa sababu wao wanakua wamezidiwa kete na walio oa. Huyu ambaye hajaoa kila akimwita huyu demu kila siku anamuitia aje geto. [emoji16][emoji16] wakati walio oa ni jiandae jumapili tunaenda hoteli flan nasikia pale pana kuku choma from UK twende tuka test. Sasa wewe ambae hujaoa fikiria wewe ungekua ndio demu ungekataa? Na ukatae ili iwaje? Hutaki nyama choma from UK au...?
Sisi ambao tumeoa tunaviwanja vyetu huko ni nadra sana kukuta vijana singo zaidi ya vibabu, vibaba na vijana wa makamo wakiwa na totozi mbichi kabisa na hazija enda kilomita.
Huku nyie mkisubiri konde boy aandae show mkavizie totozi zilizo jichokea na maisha zikikohoa moshi wa bangi, au mnazipeleka huko hizo totozi zenu[emoji23][emoji23][emoji23] lazima ziwaone wazinguaji tu na ziwasumbue acheni kupeleka mademu gest na geto kila mualiko mnao wapa. Alafu kuweni wajanja.
NB: Mwanaume aliye oa mwenye chenji hata ya kubadirishia mboga tu akimnasa demu wako wako lazima utaleta uzi humu wa kudisi wanawake [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila lakheri.....!