Hawa ndio wamefanya mapenzi kuwa magumu

Hawa ndio wamefanya mapenzi kuwa magumu

Hii theory ipo applicable huku kwetu africa ,kwenye maisha magumu, ushamba, low exposure, uzembe na umaskini, kwa wenzetu walioko seriouz kwa kila wafanyalo naona haya mambo hayawataabishi kama sisi. Na ndio maana maisha ya kifamilia kwa jamii zetu nyingi za kiafrika sio stable kabisa.
Pia mijini,wilaya mambo mbona poa tu
 
Ndio maana wanaume ambao hawajaoa ni ngumu sana kupata mke kwa sababu wao wanakua wamezidiwa kete na walio oa. Huyu ambaye hajaoa kila akimwita huyu demu kila siku anamuitia aje geto.
emoji16.png
emoji16.png
wakati walio oa ni jiandae jumapili tunaenda hoteli flan nasikia pale pana kuku choma from UK twende tuka test. Sasa wewe ambae hujaoa fikiria wewe ungekua ndio demu ungekataa? Na ukatae ili iwaje? Hutaki nyama choma from UK au...?
Kwa hiyo walioa wote wana hizo hela za kufanyia matanuzi hayo mkuu?
 
Back
Top Bottom