Hawa ndio waliokosa mikopo HESLB-2016/2017

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
Hawa hapa wanafunzi waliokosa mikopo 2016/2017. Wanafunzi waliokosa mkopo ni zaidi ya 27,000

Wanafunzi waliokosa ni ;

1.EQUIVALENT-walioomba chuo kikuu kwa sifa za diploma

2.WALIOMALIZA Form six zaidi ya miaka 3 iliyopita nyuma

3.WENYE Umri zaidi ya 30 yrs

4.PRIVATE Candidates wote

5.AMBAO Hawakusahihisha makosa yao kwenye form zao za mkopo
 
Wangetoa na sababu za kwa nini mtu kakosa mkopo ili tutengeneze profile za wale ambao in future wasisumbuke kuomba mkopo ikiwa ni wazi hatawata pata. Watu wametumia zaidi ya TShs 50,000 kumbe vigezo vingekuwa wazi na wangejua profile za wakosaji wasinge apply. Au ndio wajinga tuliwao.........? Gia kubadilishwa anagani.
 
Watoe Mara ngapi?
 
Back
Top Bottom