Hawa ndio waliokosa mikopo HESLB-2016/2017

Hawa ndio waliokosa mikopo HESLB-2016/2017

Me naomba kujua tu
Kwanini aliefanya mtihani kama private candidate anyimwe mkopo?
Maana sio private wote walimaliza miaka ya zamani wengn walimaliza form 4 mwaka 2013 ila form 6 amefanya mtihani kama private candidate
 
IMG_1477935066.217643.jpg
 
Tundu Lisu upo wapi mabilioni yanakupita hapa!

Ukilishughulikia hili suala tutapata mikopo.
Kesho bunge linaanza Dodoma naomba mwenye account ya tindu lisu anipe ili niongee naye kesho aliongelee km dhalula ili tupate haki yetu km pesa tuludishie huu ni wizi
 
Huu ni uonezi kabisa, wakati tuna apply tulikua na sifa za kupata mkopo,, tume apply wanatuambia hatuna sifa ya kupata mkopo ,alafu turudishe hela tulizokopesha

Kwa nini hii system yao ianze na wanaoingia chuo mwaka huu,,
 
walitakiwa wakianzisha system mpya ipewe muda mpaka ianze kufanya kazi.
 
JPM hapa yupo kimya as if haya mambo yanatokea Uganda au Burundi

Ila wanasiasa ni wanafiki sana.Wanasiasa wa kiafrika ni wanafiki kuliko unavyoweza kudhani
 
Back
Top Bottom