Hawa ndio wachambuzi Bora wa mpira hapa JF 2023

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.

So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo

2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake

3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu

4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf

5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako

6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....
7. Interlacustrine R ....Moja kati ya watu wa mpira wilioupiga mwingi mwaka 2023

8. Nifah ....Kwa kweli huyu kiongozi anaujua sana mpira ...hata Mimi najionaga mweupe

NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
 
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.

So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa jf mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo

2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake

3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu

4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf

5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako

6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....

NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
Bila karistimatic fella, entertainer bado siwezi kubaliana wewe uto

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Huyo namba moja mtoe hapo hastahili hata kwa kulumangia...ana uchambuzi na nyuzi za kitoto za kiutopolo kabisa..
Tate Mkuu yuko vizuri kwny kuongelea mpira hasa kwny comments zone sema ana mahaba mno na utopolo yake..
Charles kilian ni mchangiaji mzuri hana bias..yani in short ni mzungu..ni uto lakini hajataka mapenzi ya uto yamtoe kweny mstari...
Huyu NALIA NGWENA ni mchambuzi mzuri yupo utopolo lakini ana akili mingi..ndio kuna muda anatuboa upande wa pili ila kwny ukweli ni mkweli angalau...
 
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.

So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1. Labani og ..huyu jamaa ni konk sana kwenye kufanya analysis kwenye mpira + kutabiri matokeo

2. Its Pancho ..huyu ni bingwa wa kuuchambua mpira kiasi kwamba ni kama career yake

3. NALIA NGWENA ... Nadhani mnamjua jinsi Gani alivyomtaalamu

4. Tate Mkuu ..ni mwamba sana mwenye madini kwenye soka hapa jf

5. Charles kilian .....Jf sports inajivunia uwepo wako

6. Kilimbatz ....ni mtu wa soka mwenye madini sana hapa jf ....

NB: ni hao tu Kwa mwaka 2023
Mkuu, Sasa umejuaje kuwa wewe ni namba moja,??? 🤔
 
Huyo namba moja mtoe hapo hastahili hata kwa kulumangia...ana uchambuzi na nyuzi za kitoto za kiutopolo kabisa..
Tate Mkuu yuko vizuri kwny kuongelea mpira hasa kwny comments zone sema ana mahaba mno na utopolo yake..
Charles kilian ni mchangiaji mzuri hana bias..yani in short ni mzungu..ni uto lakini hajataka mapenzi ya uto yamtoe kweny mstari...
Huyu NALIA NGWENA ni mchambuzi mzuri yupo utopolo lakini ana akili mingi..ndio kuna muda anatuboa upande wa pili ila kwny ukweli ni mkweli angalau...
Huyo no Moja ndo kichwa Cha futbol mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom