Hawa ndio MaDj wakali zaidi Tanzania

Ukiacha kuweka play list nzur ya muzik,hv steve b ana sifa gan za zaid il na yy tumfanye km reference ya dj wakal bongo? nionavyo mm steve b anafunikwa mno na dj d ommy kwa sasa

Mkuu huyo D Ommy yuko wapi sasa hiv maana jamaa alikuwaga Times fm baadae nikasikia kasepa.
 
Kwel pengo la mafuvu limeonekana hyu dj aliyemreplace hana skills kali na kabase mno kwny afro pop,ea radio wafanye mpango wamrudishe fuvu au waongeze dj's wengne wakal

mpaka leo naamimi ipo namna yani km mafuvu angesimama na dullah planet bongo ingeifunika xxl! sijui kilitokea nini tu au ruge alifanya yake nini ila km ni maamuzi tu ya mabosi basi east africa walijifunga wenyewe kumfukuza mafuvu! dogo anajua
 
DJ mwenye akili kadhaaa mwenyewe .... DJ Ommy crazy.EFM

DJ brakie..,. EFM

DJ, senorita the best female DJ in Tz ... Clouds
 
Back
Top Bottom