Mnaotafuta Ajira, zingatieni uandishi wa CV. Nina haya machache ya kuwashauri

Gentleman P

JF-Expert Member
May 23, 2018
370
453
Habari wana JF,

Jaribu kutembelea Stationaries au Printers, utakuta mtu ana Degree au Diploma amekaa anasubiri CV yake ina editiwa. Mtu kasoma, pengine alisubmit na Research au Thesis, ana vyeti, lakini hajui kuandika CV, na hiyo aliyojiandikia au kuandikiwa bado haina mpangilio wa kisasa, format ni ile ile ya mwaka 2000.

Niwaambie tu kwamba Waajiri huangalia mengi, sio Elimu yako tu. Pengine unaweza ukawa huna uzoefu wa kazi lakini kama hata CV yako ina mapungufu ya kiuandishi au ni copy paste, utaendelea kumlaumu Mungu bure.

Unapotafuta kazi, kuwa na CV ilioandikwa kwa Academic English, isioweka kipaumbele kwenye mambo binafsi kama Dini, Kabila, yenye format ya kisasa na iliyojaa Practical experience na Ushahidi wa kitaaluma. Pia bahasha iwe na nakala ya vyeti vyote (VYA RANGI), pia usikose Reference Letter kama 2 (ya chuo na ya mwajiri aliyepita), pia kopi ya kitambulisho ni muhimu japo sio lazima.

NOTE: Uwe na uwezo kuisimulia au uishike CV yako kichwani. Kuna mtu akiulizwa alimaliza Form for tarehe gani (sio mwaka, tarehe) anashindwa kujibu lakini kweny CV kaandika!!

Usitegemee kutuma maombi kwa njia ya mtandao muda wote, unknown Emails huishia kwenye Junk/Spam box hasa kama Ni kampuni kubwa yenye mfumo imara wa ICT. Ukiona tangazo, peleka hiyo Bahasha yako yenye vitu hivyo hapo juu tena ikabidhi kwa mhusika, fahamu jina lake, ukifika mapokezi omba kuonana nae, anaweza kuwa ni HR, etc.

In case unataka kutuma maombi ya kazi tofauti tofauti fano; Driver, Receptionist, Teacher, Supervisor...hakikisha una CV kwa kila position, na template ya barua kwa kila position unazozi target.

Kwa leo niishie hapa. Asanteni.
 
Shukran mkuu
 
Wewe ni HRM?
 
Kuna watu wanadanganyaga kwenye CV hasa experience na kazi walizofanya,sasa ndio unaenda nao wanagusa pale pale ulipodanganya.Kuna mtu namfahamu alidanganya CV yake anajua maswala ya IP kumbe mweupe alafu aliulizwa swali la jepesi sana.
 
duhh danganya unacjokijua
 
Back
Top Bottom