Hawa members maarufu JF wamepotelea wapi?

Ramtz Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2026
Posts
269
Reaction score
528
Zamani kidogo kabla sijajiunga JamiiForums nilikua natembelea sana jukwaa hili sasa kuna baadhi ya memba kadhaa niliokua nasoma comment zao lakini sasa siwaoni miongoni mwao ni
mkwepu jr

Huyu jamaa watu walimuanzishiaga uz kisa? ana like kila uz
Mgonga Like huyu jamaa pia alishindanishagwa na mkwepu jr hv hawa memba wamepotelea api?
 
Wanakuja
 
Mkwepu jr, alitembelewa oktaba 29 2025
 
Mara fulani unaamua kuwa busy na mambo yako....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…