CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mbwa wanauwezo mkubwa wa kumtambua mtu mwema,pia mbwa katika ulimwengu wa giza hawapendwi maana huwaona wachawi,mapepo nk.Habari wanajamvi,
Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu
Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.
Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.
Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.
Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa
Wenu
CL
HahahaaaaaaaHabari wanajamvi,

nimecheka sana mkuu, hii katiba ifanyiwe marekebisho mbwa nao waanze kushika madarakaWaache wa exercise uhuru wao wa kikatiba.