Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,348
- 26,145
Wabunge wa Chalinze (Ridhiwani Kikwete) na wa Kalenga (Geofrey Mgimwa) wanaendeleaje? Hawa wote ni 'wana mfalme' walorithi mikoba ya uongozi toka kwa baba zao wazazi. Ridhiwani Kikwete ni mtoto wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyewahi kuwa Mbunge wa Chalinze. Naye Geofrey Mgimwa ni mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Kalenga hayati Dr. Mgimwa.
Hawa Wabunge wote wamerithi mikoba ya baba zao katika chaguzi ndogo. Wanaendeleaje Maprince hawa na utimizaji wa ahadi zao? Bungeni wako kimya sana kwakweli.
Hawa Wabunge wote wamerithi mikoba ya baba zao katika chaguzi ndogo. Wanaendeleaje Maprince hawa na utimizaji wa ahadi zao? Bungeni wako kimya sana kwakweli.