Hawa madogo vipi?

mi namshangaa zaidi mwenye honda hiyo
 
hao madogo
hawatasahau huyo mwalimu
wao
​
 
duh ku..a nina zake huyo mwalimu hana hata haya :A S-frusty2:
 
Bonge la adhabu. huko hakuna wanaharakati wa haki za bindamu.
 
hapo ni baada ya adhabu ya fimbo kukatazwa mashuleni.

Kwa hiyo baada ya adhabu ya fimbo kukatazwa ndio wakaamua kuleta adhabu za kikatili namna hii? Kama ndio hivyo basi bora fimbo zirudishwe tu.
 
Kuna Low inaitwa Edward ThornDike Law of Exercise-Practice Make Perfect.na Immediate Consequances are more effective than delayed Consequences,ni sawa na kusemakufanya mara kwa mara kunakufanya uwe Bora,Na kwa kipengele cha pili,Adhabu ya papo kwa papo inajenga ama kumtunuku mtoto anopofanya jema kuliko ukisubiri kesho.:hand:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…