bhikola
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,133
- 1,668
Wana JF heshima mbele, na poleni sana na overhang or sorry hangover ya blue monday
last week nilikuwa pande za mo twn (moshi), club moja hivi inaitwa malindi, infact nilikwenda pale kuwinda baada ya mzunguko mrefu na dhaifu, c unajua dhaifu alikuwa pande zile. sasa katika kuwinda nikakutana na "fisi maji", kuuliza dau, naambiwa 50 for 2hrs;
nikauliza na tiketi ya kurudi dsm humohumo?
haaa!! mchuchu anastuka, kumbe unarudi dsm basi tulale wote na kesho tuondoke wote kabisa, mi pia nakaa dsm, mitaa ya sinza kijiweni, unajua nini? Aunt Ezekiel yule ni twin wangu kabisa, yeye kulwa miye doto.
nikasema tobaaaaaaaa; nikamwita na muhudumu kabisa, aisee naomba bili yng, nikalipa nikasepa, maana niliona usiku wangu utaharibika soon.
sasa jana bana, niko pande za morogoro, kijiwe kinaitwa mzuwanda pub, hapo barabara ya iringa; nimetulia zangu napata "haramu" nimeagiza kg yangu 1, kachumbali ya buku, na ndizi 2. nishatupia eagle kama 3 hivi. Basi likajitokeza dege moja, nikaona aaah isiwe taabu, raha ya kipele ukucha; na tamu ya bia bana company. tumekaa pale natoa interest zangu, demu mara ooh, mi siyo cheap kihivyo, unajua mi na Husein Machozi ndugu, tumeshare mama ila baba tofauti
aaaaaaaaah shit! nikaona yaleyale
nikatupia haramu yangu fasta, nikahama na kiwanja
sasa nashindwa kuelewa, hivi hawa madege siku hizi wameona ndiyo style ya kutafuta influence kuwa nao ni high class au ndo nini?
J3 njema wakuu, najua sasa za week end zimeanza kuisha kichwani