Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,303
- 29,875
Nimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.
Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card .
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri