Hawa kweli wanashida ya wafanyakazi Canada au matapeli?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,133
Nimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.

Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card [emoji388].
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri
Screenshot_20220428-124030.jpg
 
Nimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.

Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card [emoji388].
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri View attachment 2203639

Wajinga ndio waliwao,nimekuambia uje Maryland hutaki
 
Nimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.

Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card [emoji388].
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri View attachment 2203639
Tatizo liko hapo OLUFUNMI hao wanaija mkuu ukiwrka hiyo credit card number utalia aisee
 
Nimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.

Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card [emoji388].
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri View attachment 2203639
Shtuka mkuu, kabla hujapelekwa Chamkoroma!
 
Credit card yako ili iweje wakati ushaambiwa kila kitu juu yao. Ujaze credit card kwani unalipia nini
Za kuambiwa changanya na za kwako
 
Hahaha mzee Olumfun anakupiga muda si mrefu...
Unaijua $9500 ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama unataka kuhamia Canada nenda pale Mayfair mikocheni kuna ofisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom