Hawa kweli wana shida ya wafanyakazi Canada au matapeli?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,133
Nimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.

Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card [emoji388].
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri
Screenshot_20220428-124030.jpg
 
Hao ni scammers wa Nigeria kina huspup, ukiona advert yeyeto then ukaombwa pesa yeyeto jua wewe ndie dili. Uhakika zaidi wasiliana na embassy husika Wana majibu mazuri ya hakika.
 
Nenda katolewe figo. Pia makundi ya kigaidi nayo yana advert kama hizi Ili kupata wapiganaji, makahaba, punda wa kuwauzia Unga, nk.
 
Hao ni scammers wa Nigeria kina huspup, ukiona advert yeyeto then ukaombwa pesa yeyeto jua wewe ndie dili. Uhakika zaidi wasiliana na embassy husika Wana majibu mazuri ya hakika.
Sina namba zao
 
Nimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.

Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card [emoji388].
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri View attachment 2203641
NAKUSHAURI TU ACHANA NAO.
 
Ukweli kuna kazi nyingi na pia Wanatakiwa watu wapewe uraia Canada! Kama Upo Dar nenda Ubalozini Kwao- watakupa Address na Link za Wanaousika kikwelikweli!! Kuna Mtanzania anawakilisha makampuni ya Canada yanataka Madereva wa Malori 1000+ ila mpaka sasa bado anaendelea na mazungumzo na TAESA na Chuo cha NIT juu ya namna ya kufanya nao kazi ya Kutest na kuwachaguwa Madereva wazuri! Siasa ndo Tatizo hapa Kwetu ingekuwa Kenya tayari vijana wangekuwa now wapo CAnada wanapiga kazi na tayari wangeshakuwa Diaspolass
 
Nipe connection mkuu. Au nitumie namba ako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom