Hawa kweli wana shida ya wafanyakazi Canada au matapeli?

Ukweli kuna kazi nyingi na pia Wanatakiwa watu wapewe uraia Canada! Kama Upo Dar nenda Ubalozini Kwao- watakupa Address na Link za Wanaousika kikwelikweli!! Kuna Mtanzania anawakilisha makampuni ya Canada yanataka Madereva wa Malori 1000+ ila mpaka sasa bado anaendelea na mazungumzo na TAESA na Chuo cha NIT juu ya namna ya kufanya nao kazi ya Kutest na kuwachaguwa Madereva wazuri! Siasa ndo Tatizo hapa Kwetu ingekuwa Kenya tayari vijana wangekuwa now wapo CAnada wanapiga kazi na tayari wangeshakuwa Diaspolass
Unaelewa kwa mwezi ni watu wangapi wanatoswa maombi ya Canadian viza?
 
Popote pale kama Docs zako azishawishi lazima ukose visa! Mfano mimi sijawai kosa Visa ! Sio kwa kuwa Canada inahitaji wafanyakazi Basi wapokee tu na Kutoa Visa kwa kila aneomba. Lazima umlizishe mtoa Visa na Sababu za maana.
 
Kweli kabisa kiongozi. Nitakufa dm tuyajenge
 
Nimeingia mitandaoni asubuhi na mapema ku search website mbali mbali nione namna ya kupata kazi marekani au Canada lakini nilipo ingia Facebook nikakuta Kuna page inatafuta watu wa kwenda Canada.

Nauli kila kitu juu yao, wakaniambia click here to apply. Yaani bonyeza hapa kuomba. Nilipobonyeza wakataka nijaze e mail yangu, phone number na credit card [emoji388].
Lakini kabla sijajaza nimeona nisitishe kwanza nije humu kuomba ushauri View attachment 2203641
ukiitwa kwenye fursa, wewe ndio fursa
 
Hapo ukiingia kichwakichwa umeliwa. Ni kweli Canada inahitaji watu, tena wengi sana. Na wengi ni kupitia Immigration kwa sababu Wacanada wenyewe wamegoma kuzaa. Tatizo ni hiyo VISA unaipata vipi.
Wao wanavigezo vyao kupitia points system.

Kwa hiyo kama wewe ni kijana (18-35) umesoma degree level, unauwezo mzuri wa kimaimuna (English) unachance kubwa sana ya kuweza kupata VISA kupitia skills labor

Kipengele kingine ni umesomea nini?
Hapa ni demand na Supply. Kuna baadhi ya sector ambazo wanahitaji sana watu, mfano health care, Software engineering, Web developer na phamasia. Yaani hapa kazi ni za kuchagua. Unaacha hapa unaajiriwa kesho asubuhi.

Tatizo ni je vyuo vyetu vinazalisha wahitimu wenye umahiri wa kufanya hizo kazi. Hapa ni kabla ya kuangalia English competency. Hapa ndipo Wakenya wanatupiga goli la kisigino kila siku.

Miaka kadhaa nilitembelea ule mji wa Wafaransa kule Canada (Quebec), yaani matangazo ya kuajiri yanashinda alama za usalama barabarani. Rafiki yangu ananiambia sasa hivi hali imekuwa maradufu. Makampuni mengine yanatoa na bonus ya kuajiriwa... just imagine [emoji15].
 
Duuh, mkuu siwezi Pata connection tafadhari
 
Human trafficking

Don't try,
The Grass is not greener on the other side..

Komaa hapahapa Bongo utatoboa.
 
Duuh, mkuu siwezi Pata connection tafadhari
Kwa kweli connection ya kwanza ni kuhakikisha kama unavigezo vinvyohitajika. Yaani kielimu kwanza. Halafu baada ya hapo, nenda ubalozini upate taarifa zaidi. Actually, wao wanalink nyingi za makampuni yanayohitaji wafanyakazi asap.

Vinginevyo ni kujaribu hawa agents ambao wanatafutia watu VISA za Canada. Hawa gharama zao ni kubwa, na inaweza kuwa pata potea.

Mimi huwa nawashauri ndugu zangu kwamba ni bora kuhangaika sana na VISA ya US kuliko ya Canada. Possibility ya kupata VISA ya USA ni kubwa sana kuliko Canada. Lakini, kila mtu na bahati yake. Huwezi kujua Mungu amekupangia nini.
 
Hao wapo hapa wanaondesha hizo website nshatumiwa mzigo kutoka geneva nikaenda kuupokea airport mwisho nikaambiwa nilipe dola 150 kumbe mpuuzi mmoja tu yupo tandale na laptop yake ananchezea akili.
[emoji23][emoji23][emoji23]Manina
 
Kwa kweli connection ya kwanza ni kuhakikisha kama unavigezo vinvyohitajika. Yaani kielimu kwanza. Halafu baada ya hapo, nenda ubalozini upate taarifa zaidi. Actually, wao wanalink nyingi za makampuni yanayohitaji wafanyakazi asap.

Vinginevyo ni kujaribu hawa agents ambao wanatafutia watu VISA za Canada. Hawa gharama zao ni kubwa, na inaweza kuwa pata potea.

Mimi huwa nawashauri ndugu zangu kwamba ni bora kuhangaika sana na VISA ya US kuliko ya Canada. Possibility ya kupata VISA ya USA ni kubwa sana kuliko Canada. Lakini, kila mtu na bahati yake. Huwezi kujua Mungu amekupangia nini.
Sawa mkuu sijaribu ila nafanya
 
Hao ni scammers wa Nigeria kina huspup, ukiona advert yeyeto then ukaombwa pesa yeyeto jua wewe ndie dili. Uhakika zaidi wasiliana na embassy husika Wana majibu mazuri ya hakika.
Kwenye Facebook niliwaiita "bloody Nigerian Scammers" waka ripoti nimepigwa ban ya siku kumi😭
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom