Hawa kweli wana shida ya wafanyakazi Canada au matapeli?

Hawa kweli wana shida ya wafanyakazi Canada au matapeli?

Jimiksi tu uone kama kuna rangi utaacha kuona...
 
Ni kweli kuna kazi nyingi canada za both skilled na unskilled. Ili uwe na uhakika official website ya goverment ya Canada iko hivi
canada.ca
Canada ni nchi kubwa sana, ya pili hwa ukubwa duniani. Ina majimbo/provinces 10 na territories 3. Kila jimbo lina mamlaka yake. Kuna majimbo ambayo ni rahisi kupata kazi na kupata pernanent residence (PR) kama New Brunswick, Nova Scotia, na British Columbia.
Kwenye kuchagua provinces chagua hizo kwanza. Ingawa wa East Africans wengi wako Ontario, na Alberta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom