inasikitisha,inatia uchungu,inatia simanzi
HII DUNIA SI SEHEMU SALAMA TENA
Dah kumbe watanzania wengi hawajasoma na hata wenye shahada vichwa vyao vimejaa maji.. kaeni na ujinga wenu wa kutopenda kufatilia mambo.. Hivi unajua chanzo cha IS? Unajua nini America imefanya baada ya kukataliwa kuingia Syria na Its allies Russia?
Unajua Foreign Policy ya America ya Intervention and Construction maana yake nini?
Unajua kama hao IS ni agenda ya America kutaka kuipiga Syria?
Friends someni na muwe mnafatilia siasa za Amerika, msikurupe na kuanza kuusema uislamu., Akili visoda.:A S-baby:
Nirushie whatsapp niione +255654838131
Mbona wao kila siku wanawashambulia kwa makombora hao jamaa na kuwaangamiza kila uchao...???
Mtazunguka tu chanzo cha ugaidi duniani ni wazungu.na hasa wamarekani mzungu ni shetani
all of them are satanic and lucifer himself is working through them...
JESUS CHRIST didnt kill but insisted what we say GREAT COMMANDMENT "love"
wanapigania dini. waislam wa tz hawajaandamana wala kutoa tamko hata mara moja. silence means wanawasapoti hao wauaji kwasababu wanapigania dini yao. ila mtume akichorwa hapo wanaandamana na kusababisha hadi kifo.