Hawa jamaa wanatisha

Hawa jamaa wanatisha

Attacking the ISIS by USA Forces last night by high technology satellite focus on target. Amazing technology..thermal images. Purposely released for the world to know the capability of the US Forces.

https://t.co/7y4mTryb7d

View quick, may soon be blocked!
 
Uislam hauamrishi mauaji wala ukatili ni dini pekee inayojali haki za vimbe vyote sio binaadamu tu. Katika uislam huruhusiwi hata kuuwa wanyama ovyo au kukata miti seuze kutoa roho ya binaadamu. Hizi picha na video ni za kutengeneza ili watu wachukie uislam lakini wenye akili wanaelewa kuwa hayo si matendo ya kiislam. Hakuna lisilowezekakana kwa technolojia iliopo si tunaona katika movies kubwa watu wanauliwa, mafuriko, ajali...while is not true. Atashindwajwe mtu kutegeneza clip ndogo tu au picha ya kudisplay chuki zake. Mambo mengine yanataka uwe na akili ya kufikiri si kila unachoona unakivamia.
 
Kuchinja watu tumeshazoea, siku hizi tunaona ni kama horror movie tu. Wrong turn n.k. So wakajipange tena waje na mbinu mpya za kutisha kwa mfano wanaeza kuanza kwa kula nyama za watoto wao wakiwa hai, hiyo kidogo itatushtua walau kwa dk 2.
 
huyu nae kundi gani
 
Attachments

  • 1424250880036.jpg
    1424250880036.jpg
    14.7 KB · Views: 178
Huyo mchinjaji ni mzungu convert feki. Wanachinjwa na wazungu feki.mbona mpaka waislam wanachinjwa tu na hao convert feki?
boko haram nao ni wazungu convert feki.
 
Binafsi mie hao kina alshabab sijui al qaedah sijui isis kama ndio wanavyoitwa nawashangaa sana kweli waislam gani hao kutwa kufanya mauaji........
hao ndio waislam halisi, umesahau mohamad alieneza uislam kwa kuchinja sawasawa na vile wanavyofanya hao jamaa?
 
Unajaribu kusema nin……?

nina chosema isis walipata mafunzo kutoka usa hili halina ubishi
wakafanyiwa kampeni kuleta watu wa nje
lengo ni ku ondoa utawala wa Assad syria.
nakupa mfano wewe uwape silaha panya road uwafundishe mbinu za kivita unadhani wale watakuwa sawa na jwtz?
wale watakua ni wahuni na wauaji , na hio ndio faida ya kuingilia nchi za watu kwa kufanya uchafu kama huu..
yanayo tokea Libya ni sawa na haya
UN ikatumiwa ku support wahuni panya road wa libya kufanya mauaji na kule walifanikiwa kumundoa Gadhafi lakini libya ipo wapi?
wapi UN ilohalalisha uvamizi ?
jiulize si ni UN ndio walio to baraka zile ? sasa kwanini hawako responsible ku-stabilize Libya ? tafakari
 
U got a point, thou
 
Binafsi mie hao kina alshabab sijui al qaedah sijui isis kama ndio wanavyoitwa nawashangaa sana kweli waislam gani hao kutwa kufanya mauaji........
Mimi siamini kuwa Waisilamu wote wanfurahishwa na hii, lakini naanza kuamini kuwa magaidi wote either ni Waisilamu au wafannya kwa kuteketea uislamu
 
Uislam hauamrishi mauaji wala ukatili ni dini pekee inayojali haki za vimbe vyote sio binaadamu tu. Katika uislam huruhusiwi hata kuuwa wanyama ovyo au kukata miti seuze kutoa roho ya binaadamu. Hizi picha na video ni za kutengeneza ili watu wachukie uislam lakini wenye akili wanaelewa kuwa hayo si matendo ya kiislam. Hakuna lisilowezekakana kwa technolojia iliopo si tunaona katika movies kubwa watu wanauliwa, mafuriko, ajali...while is not true. Atashindwajwe mtu kutegeneza clip ndogo tu au picha ya kudisplay chuki zake. Mambo mengine yanataka uwe na akili ya kufikiri si kila unachoona unakivamia.
mkuu wala usijaribu kujitetea nyie endeleeni kuchinja sababu hata Muhammad wenu alishasema dini yenu itasambaa hata kama ni kwa upanga takbiiir
 
Tatizo kaka wao sera yao wanasema wanatetea uislam pia hakuna muislam aliyewakana mngewakana mnafiki angejulikana

Hilo ni jeshi la makafiri na sio uislam,dini ni ya mwenyezi mungu na anailinda mwenyewe.
Ila mbichi na mbivu inajulikana Quraan inawakana na mnafki wa dunia anajulikana(USA)
Uislam sio jina tu,ni vitendo
 
Kama ugaidi ni itikadi ya mwislamu kama dunia inavyo chkulia.
Basi TZ hii waislam na wakristo wasingeishi pamoja
 
Back
Top Bottom