Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,931
Nimesubiri makarani waje kuhesabu tupo wangapi kwetu, masaa 12 yamepita sijaona hata mmoja akipita kwangu, nilipotaka jioni ya leo hawa hapa 2 wapo kwa mangi wanapata vichangamshi [emoji23][emoji23]
Najiuliza walikuwa wapi muda wote huo?
Kesho siwasubiri, imetoka hiyo.
Najiuliza walikuwa wapi muda wote huo?
Kesho siwasubiri, imetoka hiyo.