Hawa jamaa ni kina nani haswa?

Hawa jamaa ni kina nani haswa?

Haya mambo ya alien mimi huwa naona ni story za kuchangamsha genge tu.

Ila kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba sisi binadamu wenyewe ndio Aliens. Yes we are the acient aliens...

Hivi unadhani zile underground tunnels zenye maelfu ya miaka unadhani nani alizijenga?.Unadhani kwa nini kuna story red indians wanadai waliwahi kuishi chini ya aridhi?

Unadhani kwa nini kuna jamaa mmoja ambae wanamwita Baba wa silaha za nyukilia. Aliwahi kusema "Bomu la nyukilia alilotengeneza, sio mara ya kwanza kuwepo duniani.Ila ameirejesha siraha iliyowahi kutumika ikapotea". Unajua kwa nini?

Kuna evidence vinaonyesha kuwepo kwa vita ya nyukilia mamilioni ya miaka iliyopita (ukitaka nitakuletea).Unajua hiyo vita ilikuwa kati ya nani na nani?.Na kuna evidence ya mifupa ya watu walikufa zamani Sana katika vita hiyo.

Unajua kwamba Adam na Hawa sio binadamu wa kwanza kuwepo?.Serpent (shetani) anayetajwa kumdanganya Adam na Hawa unamjua?. Unajua kwa nini licha ya Serpent kumdanganya Adam kwa nini hakuangamizwa na huyo mnayemuita Mungu (japo kiuhalisia hamjaelewa maandiko).

Hivi unajua kwa nini karibia kila dini ina kasumba ya kuweka mawazo kuonyesha kwamba hapa duniani sio kwetu?.Kila dini huwa inatushawishi kuamini kuna mahali pazuri zaidi sisi kuishi nje ya hapa duniani?. Kama sivyo basi itasema our ancestor hawana origin ya hapa duniani, unajua kwa nini?. It is because we are aliens

Kuna aina tofauti ya aliens.Watafiti wa mambo ya aliens wanadai, Kuna aina fulani ya aliens huwa wanadai hii dunia ni yao na sisi ni wakimbizi kwa hiyo wana mpango wa kutuondosha.Unajua kwa nini wanadai hapa ndio kwao na sisi ni wakuja?

WE ARE ALIENS or OUR ANCESTOR ARE ALIENS.
 
Unajua kwamba Adam na Hawa sio binadamu wa kwanza kuwepo?.Serpent (shetani) anayetajwa kumdanganya Adam na Hawa unamjua?. Unajua kwa nini licha ya Serpent kumdanganya Adam kwa nini hakuangamizwa na huyo mnayemuita Mungu (japo kiuhalisia hamjaelewa maandiko
Haya mambo ya alien mimi huwa naona ni story za kuchangamsha genge tu.

Ila kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba sisi binadamu wenyewe ndio Aliens. Yes we are the acient aliens...

Hivi unadhani zile underground tunnels zenye maelfu ya miaka unadhani nani alizijenga?.Unadhani kwa nini kuna story red indians wanadai waliwahi kuishi chini ya aridhi?

Unadhani kwa nini kuna jamaa mmoja ambae wanamwita Baba wa silaha za nyukilia. Aliwahi kusema "Bomu la nyukilia alilotengeneza, sio mara ya kwanza kuwepo duniani.Ila ameirejesha siraha iliyowahi kutumika ikapotea". Unajua kwa nini?

Kuna evidence vinaonyesha kuwepo kwa vita ya nyukilia mamilioni ya miaka iliyopita (ukitaka nitakuletea).Unajua hiyo vita ilikuwa kati ya nani na nani?.Na kuna evidence ya mifupa ya watu walikufa zamani Sana katika vita hiyo.

Unajua kwamba Adam na Hawa sio binadamu wa kwanza kuwepo?.Serpent (shetani) anayetajwa kumdanganya Adam na Hawa unamjua?. Unajua kwa nini licha ya Serpent kumdanganya Adam kwa nini hakuangamizwa na huyo mnayemuita Mungu (japo kiuhalisia hamjaelewa maandiko).

Hivi unajua kwa nini karibia kila dini ina kasumba ya kuweka mawazo kuonyesha kwamba hapa duniani sio kwetu?.Kila dini huwa inatushawishi kuamini kuna mahali pazuri zaidi sisi kuishi nje ya hapa duniani?. Kama sivyo basi itasema our ancestor hawana origin ya hapa duniani, unajua kwa nini?. It is because we are aliens

Kuna aina tofauti ya aliens.Watafiti wa mambo ya aliens wanadai, Kuna aina fulani ya aliens huwa wanadai hii dunia ni yao na sisi ni wakimbizi kwa hiyo wana mpango wa kutuondosha.Unajua kwa nini wanadai hapa ndio kwao na sisi ni wakuja?

WE ARE ALIENS or OUR ANCESTOR ARE ALIENS.
Chief ebu tuelezee japo kidogo kuhusu sisi hapo kwenye kuelewa maandiko maana ndio kuna confusion kubwa ilipo tupe elimu kwa uelewa wako
 
Mkuu natamani kusikia neno kutoka kwako zaidi haswa ilo la Adamu na hawa na uyo wanao mwita Mungu
 
Unajua kwamba Adam na Hawa sio binadamu wa kwanza kuwepo?.Serpent (shetani) anayetajwa kumdanganya Adam na Hawa unamjua?. Unajua kwa nini licha ya Serpent kumdanganya Adam kwa nini hakuangamizwa na huyo mnayemuita Mungu (japo kiuhalisia hamjaelewa maandikoChief ebu tuelezee japo kidogo kuhusu sisi hapo kwenye kuelewa maandiko maana ndio kuna confusion kubwa ilipo tupe elimu kwa uelewa wako
Angeze nyama kidogo twende sawa
 
Is this the same creature na yule ambae ameonekana kwenye movie ya “Shape of water?”
...Mkuu, kumbe umeiona ile sinema? Mimi niliiona, na ndipo nikajua kama Wanawake no Viumbe was Ajabu!
Yaani Dude like halijulikani no Binadamu ama Samaki...lakini mama yule Bubu akalipenda had I kulipa Mzigo!!....na kesho take akawa anamuadithia kwa lugha ya Kibubu mfanyakazi mwenzake mwanamke...
Naye kamuunga mkono kwa kumzawadia dude mzigo!!!!
Da, Wanawake!?!?!?
 
Hapa nimefanya kusummarize ila vyanzo vya habari vipo vingi sana

Sent using Infinix hot 4
...Mkuu Damaso, Luna Mkuu ameuliza hapo nami namuunga mkono...mbona hakuna taarifa za kueleweka kuhusu hawa viumbe kutoka Africa yetu hii?
Mbona wanatokea kwa Wenzetu, kama vile sisi hatupo duniani??
 
Nenda YouTube kwa msaada search Zimbabwe aliens
...Mkuu Damaso, Luna Mkuu ameuliza hapo nami namuunga mkono...mbona hakuna taarifa za kueleweka kuhusu hawa viumbe kutoka Africa yetu hii?
Mbona wanatokea kwa Wenzetu, kama vile sisi hatupo duniani??
 
Sasa mbona wanatokea tu huko kwa weupe? Afrika vipi?
Kitu nachokipenda kwa hawa jamaa whites ni ile kujitoa ili dunia ione kitu fulani kwa umakini.
Video za Aliens sightings na mambo paranormal duniani nahisi Wazungu ndo wanaongoza kuonesha matukio haya.. Ni ngumu sana kwa Waafrika kuchukua simu au camera akamrekodi kiumbe asiyemjua au kurekodi mawinguni kwa zaidi ya dakika 10.
Nina imani kuwa hata walikuja kama walivyofanya North America pamoja na South America. Tatizo ni documentation pamoja na seriousness ya watu.
Kwanini red Indians wanadumisha tamaduni zao.. Kuna mtu ukimuuliza historia ya ukoo wao ataishia kwa babu yake na hamjui baba wala babu wa babu yake...
 
...Mkuu, kumbe umeiona ile sinema? Mimi niliiona, na ndipo nikajua kama Wanawake no Viumbe was Ajabu!
Yaani Dude like halijulikani no Binadamu ama Samaki...lakini mama yule Bubu akalipenda had I kulipa Mzigo!!....na kesho take akawa anamuadithia kwa lugha ya Kibubu mfanyakazi mwenzake mwanamke...
Naye kamuunga mkono kwa kumzawadia dude mzigo!!!!
Da, Wanawake!?!?!?
Hii movie ilinifanya nione kuwa hata we humans tuko tofauti sana....
Kulikuwa na story zaidi ya tunda pale eden
 
Kitu nachokipenda kwa hawa jamaa whites ni ile kujitoa ili dunia ione kitu fulani kwa umakini.
Video za Aliens sightings na mambo paranormal duniani nahisi Wazungu ndo wanaongoza kuonesha matukio haya.. Ni ngumu sana kwa Waafrika kuchukua simu au camera akamrekodi kiumbe asiyemjua au kurekodi mawinguni kwa zaidi ya dakika 10.
Nina imani kuwa hata walikuja kama walivyofanya North America pamoja na South America. Tatizo ni documentation pamoja na seriousness ya watu.
Kwanini red Indians wanadumisha tamaduni zao.. Kuna mtu ukimuuliza historia ya ukoo wao ataishia kwa babu yake na hamjui baba wala babu wa babu yake...
Sawa mkuu. Akiibukia kwangu sitamkimbia nitamkarimu atakuwa jamaa yangu,kila anachokisema na kufanya nitakuwa nba-record.
 
Kuna kipindi nilikwenda sehemu fulani mkoani Iringa kuna mbabu aliniuliza kuwa je nina amini kuwa kuna viumbe vingine vikubwa na vyenye rangi tofauti na sisi?? Nilimjibu siamini ili anipe elimu zaidi... Aisee mzee alinipa robo ya stori mpaka nikaanza kuogopa.. Hakika wazee ndo tunu za jamii wana mambo mengi sana ya thamani... M
 
Kuna kisa kwamba viumbe vya aina hii viliwahi kutua zimbabwe kama sikosei katika shule moja ya watoto.vilitua na ndege yao hiyo mfano wa kisosi maeneo ya uwanja wa shule hiyo ambapo watoto walikuwa wanacheza walimu walikuwa kwenye kikao ofisini.watoto baada ya kuona viumbe hivyo vya ajabu walianza kupiga kelele ndipo viumbe hivyo vikasepa walimu walipo kwenda eneo hilo hawakukuta kitu.
 
Sisi hatuna ustarabu mkuu wenzetu wamewaweka mpaka sehemu wanawapigisha mapindi ya high technology.....
 
Member Hammaz ameandika ukweli mzito na ambao watu weusi wengi hawatakaa kuelewa na kuukubali.

Huwa nashindwa kuwaelewa wanaokataa ukweli kwamba sayansi ni elimu ya kichawi inayotekelezwa na wanaadamu kwa kupata enlightment kutoka kwa hawa non human beings. Tukubali tukatae ni hapa ndipo waafrika tulipigwa gepu na hatutakuja kulifikia hili gap forever & ever. Period!
 
Yaap bro kuna watu wanaamini kuwa hawa raia hawapo lakini ukifuatilia tamaduni nyingi duniani karibu kila bara kuna story za hawa jamaa ila tunakaza ubongo tu....
 
Kuna kipindi nilikwenda sehemu fulani mkoani Iringa kuna mbabu aliniuliza kuwa je nina amini kuwa kuna viumbe vingine vikubwa na vyenye rangi tofauti na sisi?? Nilimjibu siamini ili anipe elimu zaidi... Aisee mzee alinipa robo ya stori mpaka nikaanza kuogopa.. Hakika wazee ndo tunu za jamii wana mambo mengi sana ya thamani... M
Funguka zaidi mkuu nasi tupate maarifa
 
Back
Top Bottom