Hawa jamaa ni kina nani haswa?

Mbona hao wapo wengi sana wanatembeleaga Afrika lakini kila wakifika wanakuta waafrika wamelala usiku wa saa tisa wanarudi kwao,tataizo tukiwaona tunakimbia na wao hawapendi kukimbiwa
 
Kuna sehemu nasikia walikuja ni maeneo ya Zambia watu wakajifungia ndani. Wengine wakadai ni kimbegwo wengine wanasema ni mauzauza tu

Sent using Infinix hot 4
 
Waliwahi kufika kijijini kwetu Kindimba chini Mbinga watu walitimbua mbio mno hao jamaa hawapendi fujo wakaondoka ,kwa ufupi wanapenda sana kutembelea Afrika lakini sisi tunawakimbia ndio maana wametususa nakutujambia sasa hivi hatuna tunalofanya na kufanikiwa
 
Kwa watu weupe inaonekana wameanza kupiga Misele kitambo sana.
Mfano, hawa jamaa Wahindi wekundu ni karibia karne ya 10 na kitu kumbe walikuwa wapo wanakula bata na jamaa

Sent using Infinix hot 4
 
We ukikutana nae unatulia kimya lakini usimuangalie usoni ukimuangalia sana usoni atakuzaba kofi la uso, inataka moyo maana ni kiumbe sio wa kawaida
 
Halafu nasikia wanawake wao wanapenda kudinywa na binadamu sana hasa Waafrika tatizo tunawakimbia
 
Kuna interview moja jamaa anasema aliwaona walipiga Misele shambani kwake.
Sasa tatizo i kwenye muonekano wao anasema walikuwa wana rangi ya kijani kibichi halafu upana wao ni sawa na urefu na alikadiria kuwa urefu wanatembea mpaka 70.

Sent using Infinix hot 4
 
We ukikutana nae unatulia kimya lakini usimuangalie usoni ukimuangalia sana usoni atakuzaba kofi la uso, inataka moyo maana ni kiumbe sio wa kawaida
Daah Kuna mengi Sana tunaficha na The sky limit

Back
Top Bottom