Hawa jamaa ndio wameanza kutekeleza?

Hawa jamaa ndio wameanza kutekeleza?

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
...kama ilivyoagizwa kwa wale wasiotii sheria.
 

Attachments

  • tutAFUKA.jpg
    tutAFUKA.jpg
    21.8 KB · Views: 276
Wawapige tu maana ukikatazwa nawe hutaki
Unadhani tutafanyaje,utapigwa tu

By Pinda
 
Na mtapigwa tu... ila kitu ambacho pinda hakujua ni kuwa tumejiandaa KUPIGANA
 
tujiandae kwelikweli kama tutakua mazoba.,hii kauli ingetolewa Kenya kusingekalika nadhani
 
Hiyo picha ni west Africa nchi gani? Maana hizo sare za jeshi naona zinatofautiana na za JWTZ!
 
Back
Top Bottom