Umempiga na ka-kizungu kama ulimuona wakati anakwenda shule mkuu[emoji23]Washenzi sana, matangazo kama haya wakaweke fb kuliko kusumbua watu bila sababu.![]()
Aisee!!!inaonekana jamaa anaotea otea kuna baadhi mabwege huwa wanaingia na anawapiga.hawa dawa yao wakikutumia kama hivi unawapuuzia tu.Huyo Babu Miambi alishanitumia na mimi.
![]()