Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 3,126
- 6,104
Kwakweli na wanayajua madudu mengi yanayo fanyika nchini.. Pasipo busara atafunga watangulizi wooote.Urais ni kazi ngumu sana yenye mastress kibao.
Kwakweli na wanayajua madudu mengi yanayo fanyika nchini.. Pasipo busara atafunga watangulizi wooote.Urais ni kazi ngumu sana yenye mastress kibao.
Kazi ngumu kuliko, kila mtu tumaini lake analiweka kwako, ukikosea kidogo povu nchi nzima.Kwakweli na wanayajua madudu mengi yanayo fanyika nchini.. Pasipo busara atafunga watangulizi wooote.
Kwakweli kuna muda yapasa kuwahurumia hawa watu (viongozi).Kazi ngumu kuliko, kila mtu tumaini lake analiweka kwako, ukikosea kidogo povu nchi nzima.
Ni rahisi kwa TanzaniaUrais ni kazi ngumu sana yenye mastress kibao.
[emoji23]Wakue nazo nahisi
KODI ZETU MALI YAOWashamba tu hawana lolote
Ila ina utajiri sana!!Urais ni kazi ngumu sana yenye mastress kibao.
Labda ndio wanazozipenda.Hivi kwann mafundi wao wanawashonea manguo makubwa makubwa? Inamaana hakuna suti zinazoendana na miili yao??