Hawa jamaa kitu gani wanachokishangaa hapo chini?

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,968
33710550_1883150271748958_991088451153559552_n.jpg
 
Hivi kwann mafundi wao wanawashonea manguo makubwa makubwa? Inamaana hakuna suti zinazoendana na miili yao??
 
Hapo mambo magumu... Kuna jambo Mzee limemtoa Zanzibar.. Kuja kujadili na Mkuu, lakini limekosa ufumbuzi.. Siku ilikuwa ngumu Sana hii. We acha tu,!!!
 
Back
Top Bottom