Hawa jamaa hawana hata usamalia wema!!

Hawa jamaa hawana hata usamalia wema!!

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
Hii ingetokea tanzania, mdau angepewa msaada fasta fasta.
Yule mwenye kilemba chekundu ndio anacheka kabisa.
attachment.php
 

Attachments

  • ajali.jpg
    ajali.jpg
    68.4 KB · Views: 1,021
Kumbe sio hapa kwatu tu wizi wa chuma chakavu ni wakimataifa.
hiyo chember walishakunywa mfuniko wezi wa miundo mbinu.
 
Hapa Dar siku hizi bora usisaidiwe maana imetokea ,mtu au watu wawili waanakuja kama wanataka kukusaidia vile, wanawasha piki piki na kuondoka nayo mbio! Ndio umeshaibiwa
 
Back
Top Bottom