Hawa Israel kweli ni wanadamu?

Hawa Israel kweli ni wanadamu?

Hii video live ya mabomu, unaona yalikuwa yanadondoshwa tu mtaani na sio ku target jengo
View attachment 1783062
Hii video ya impact barabarani watu walivyojeruhiwa ama kufa. Hapa ndio wanadanganya dunia kuwa wanaowapiga Hamas,
View attachment 1783067

Kinachofanyika huko sasa hivi ni genocide, kuna Settlers 3000 wa ki Israel wanatafutiwa PA kukaa.
Duh jamaa hawana fire extinguisher? Wanazima moto kwa kupepea Mashati?

Ila wasikae mahari panaporushwa rockets maana yake Israel analipua eneo hilo kwa upana ili hata walipuaji wakikimbia wamalizwe not one missile lazima iwe randomnly
 
Huwezi uka target mtu mmoja au wachache na mabomu, wana he'll copter, wana sniper wana vifaa kibao wanaweza tekeleza.

Hao wanaua for fun sasa hivi, kuna video kibao zinaonesha wanakatama vitoto ama watu wazima wanawaua. Sometime barabarani unakuta kibibi kizee wanakishoot.
 
Ni washenzi Sana hao mashoga,ngoja siku Irani ipate nyuks ndio heshima itakuwepo
Hapo ndo ujinga wenu, sasa hapo unatetea haki za binadamu au kwa vile anayepigwa ni mpalestina? Ko muisrael yeye hana haki ya kuishi?
Hao hamasi makombora yao yanarushwa tu bila kujali litaangukia katikati ya RAIA au la, lakini hakuna anaye laani.
Hamas ndio wanaua RAIA wa Palestina kwa kujificha kwa RAIA.
 
Kwani hadi saizi aliyeua raia wengi wa kawaida ni Israel au Hamas? Wapalestina wanaonewa sasa siku mtetezi wao akimiliki nukes heshima itakuwepo kama Marekeni alivyoshika adabu kwa korea na uonevu utakoma.Hitler alilaumiwa sana kumbe alkuwa sahihi maana seems hawa Mayahudi sio watu wa amani na kutaka suluhu.
 
Wanakuita NYANI pia hawataki kuchanganya na ww usijipendekeze utaishia kulengwa maganda ya ndizi
[emoji116]
IMG_20210514_071806.jpg
 
Hapana majeshi ya Israel muda karibia mwezi sasa hivi yanapiga watu,

Na alie tengeneza Hamas ni israeli
1. Palestina hawana Airport
2. Palestina hawana bandari
3. Palestina hawana jeshi
4. Ukitaka kwenda palestina inabidi uwe na visa ya Israel..

Kifupi palestina ni kisiwa kilichozungukwa na Israel, hakuna njia ya kupitisha silaha ama kuwasiliana na nchi nyengine bila kupitia israeli,

Kwa wakati mbalimbali viongozi wakubwa wastaafu wa Israeli wamekiri kufund Hamas hili wala sio siri.

Wanachofanya ni kutafuta Huruma kwa dunia ili wawaue Wapalestina vizuri.
Kwa nini mnachokoza kwa kupiga maroket kwenda Israel?. Hata hii vita mwanzo wake ni nyie hamkutaka Israel asherehekee siku ya Jerusalem. Nyie mbona miaka yote mnashehekea Id el fitre anatulia. Tulieni muipate fresh yenu. Huyo ndio Israel mwana wa Yokobo
 
kama nilivyosema post mbalimbali israel ameanza kupiga wapalestina wiki kadhaa sasa, toka kipindi cha ramadhani anapiga watu. kipindi anapiga hakukuwa na hamas wala rocket, sababu amekuwa under pressure ndio maana unaona rocket za hamas ili wapate excuse waonekane kama na wao wanapigwa, viongozi kibao wastaafu wa israel wamekiri kufund Hamas, hivyo bado watu kuwalaumu palestina kwa ajili ya Hamas vinaonyesha ubongo wetu umejaa nini.

leo wamepiga mabomu jengo la aljazeera na Bbc na hawa ni Hamas nao? tena Al jazeera wame record live.
 
Israel yaweza kuwa wameathiriwa na chanjo za corona! Inasemekana ni moja ya nchi iiliyochanja watu wake zaidi na hizi chanjo za kubadili "utu" wa mtu (kwa mujibu wa Mh Gwajima mbunge wa Kawe bungeni). Kwa hiyo, waisrael kufurahia mateso na mauaji huko Ghaza, zaweza kuwa ni dalili za mwanzo ufanyaji kazi wa chanjo hiyo.

Hata humu jamvini matokeo ya dalili kama hao jamaa zishaanza kuonekana...! Watu wanafurahia vifo na madhara yawapatayo wezao...kwa kufanya sherehe ya kula na kunywa. Tunajua ni akina nani walitoroka na kwenda kupata chanjo hizo.

Jiwe gizani ( H aha haaaaaa!)
 
Waliopo israel sio jewish wale ni wazungu tu.The real jewish wako same na waarabu ama kama unavowaona wapalestine.Sasa jiulize wale wazungu waliopo israel walitoka wapi.Hii dunia inaharibiwa na watu wema wanaoujuwa ukweli halafu wakakaa kimya.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
kwahiyo hao jamaa wayahudi halisi hawana fyongo na mtu wamejichanganya tu na ndugu zao waarabu wanasubiria masihi arudi?
 
Back
Top Bottom