Hawa Israel kweli ni wanadamu?

Hawa Israel kweli ni wanadamu?

Na hao binadamu wasiokuwa Waisrael wamewaonea na kuwafanyia UNYAMA huko ULAYA YA MASHARIKI ,UGIRIKI ,MISRI NA SPAIN miaka kwa miaka....
unamaanisha ottoman empire? ina mahusiano gani na palestine? hivi leo senegal wakaipige Brazil then Brazil walipize kisasi Tanzania utakubali?
 
Hii video live ya mabomu, unaona yalikuwa yanadondoshwa tu mtaani na sio ku target jengo
View attachment 1783062
Hii video ya impact barabarani watu walivyojeruhiwa ama kufa. Hapa ndio wanadanganya dunia kuwa wanaowapiga Hamas,
View attachment 1783067

Kinachofanyika huko sasa hivi ni genocide, kuna Settlers 3000 wa ki Israel wanatafutiwa PA kukaa.
Duuh,inatisha sana aisee..

Hivi hawawezi kumaliza huu mzozo wa kwa kukaa chini na kuzungumza,inasikitisha sana
 
unamaanisha ottoman empire? ina mahusiano gani na palestine? hivi leo senegal wakaipige Brazil then Brazil walipize kisasi Tanzania utakubali?
Hapana sheikh wangu..
Ottoman Empire haijawaumiza waisrael kama EMPIRE nyingine.....

Ottoman Empire ndiyo iliyowalinda WAISRAEL wakiwa uhamishoni AFRIKA YA KASKAZINI(Morocco na kwengine) baada ya kutimuliwa Hispania 1391.....
 
Vita ni kati ya mtoto wa Sara mke wa Ibrahim na mtoto wa Hajira kijakazi aliyezaa na Ibrahim wakati sara hana Uzao

Hii vita siku ikiisha ndo utakuwa mwisho wa dunia
 
Duuh,inatisha sana aisee..

Hivi hawawezi kumaliza huu mzozo wa kwa kukaa chini na kuzungumza,inasikitisha sana
Wote wana makosa....

Wameamua kutumia UBABE kufikia makubaliano....

Makubaliano yote hawayakubali na kuwaridhisha WAHAFIDHINA WA ISRAEL NA HAMAS....
 
Hapana sheikh wangu..
Ottoman Empire haijawaumiza waisrael kama EMPIRE nyingine.....

Ottoman Empire ndiyo iliyowalinda WAISRAEL wakiwa uhamishoni AFRIKA YA KASKAZINI(Morocco na kwengine) baada ya kutimuliwa Hispania 1391.....
sasa umemaanisha nini huko spain na ugiriki?
 
Duuh,inatisha sana aisee..

Hivi hawawezi kumaliza huu mzozo wa kwa kukaa chini na kuzungumza,inasikitisha sana
labda Israel aondoke mkuu na hicho kitu hakitakuja kutokea. tatizo kubwa ni hao mazayuni, ma jews na waisilamu wanaweza kuishi pamoja, na wameishi kwa maelfu ya miaka sheria nyingi za hizi dini mbili zinafanana,

hao mazayuni wana malengo mengine kabisa, na wanakula sahani moja na viongozi wengi wa nchi za kiarabu kama Saudia na UAE, na vikundi vingi vya kigaidi wao ndio wanavi sponsor, hivyo ni plot kubwa sana na ni biashara kubwa ambayo watu hawawezi kuiachia kirahisi hapo.

hawa mazayuni wanaua hadi wayahudi wenzao ili tu kukamilisha malengo yao ni watu hatari sana.
 
nimejaribu bado zinafunguka vizuri, labda chagua open in new tab
Nkigusa Link inanileta huku
Screenshot_20210514-153314.jpg
 
hawa ndio waisrael munaowatetea

hitler part 2
 
Ni washenzi Sana hao mashoga,ngoja siku Irani ipate nyuks ndio heshima itakuwepo
Kwani Irani anatafuta nukes kwa ajili yao!? Atakapoipata wao watakuwa nayo pia. Ukweli kwamba Israel inaua Filistines haitakiwi Iran iwe na nukes kwanza ndipo izuie. Jumuia ya kimataifa inatakiwa ilaaani kwa kauli moja ili kuwazuia mazayuni kufanya hujuma wanazozifanya!
 
Kusema ukweli kama ukabila, udini sasa inatosha. Kitendo cha kufanya watu wa Gaza, Palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo washuhudia mabomu yanavo rushwa.

Kusimame dunia nzima kupinga haya sisi ni wanadamu

======

s the sun begins to sink over the Mediterranean, groups of Israelis gather each evening on hilltops close to the Gaza border to cheer, whoop and whistle as bombs rain down on people in a hellish warzone a few miles away.

Old sofas, garden chairs, battered car seats and upturned crates provide seating for the spectators. On one hilltop, a swing has been attached to the branches of a pine tree, allowing its occupant to sway gently in the breeze. Some bring bottles of beer or soft drinks and snacks.



Fee Palestine
 
Back
Top Bottom