Hawa Israel kweli ni wanadamu?

Hawa Israel kweli ni wanadamu?

Israel kuna watu wakatili sana. Ila wameishika dunia. Kila mtu anawaonea huruma sababu ya Hitler na upuuzi wake. Ndio watoto wa babu Ibrahimu wanavyosambaratishana huko Mashariki ya kati. The real brothers
Ndo watoto wa ibrahim. Afu wewe ni mtoto wa nani. Acha kujidharau yu african
 
Kusema ukweli kama ukabila, udini sasa inatosha. Kitendo cha kufanya watu wa Gaza, Palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo washuhudia mabomu yanavo rushwa.

Kusimame dunia nzima kupinga haya sisi ni wanadamu

======

s the sun begins to sink over the Mediterranean, groups of Israelis gather each evening on hilltops close to the Gaza border to cheer, whoop and whistle as bombs rain down on people in a hellish warzone a few miles away.

Old sofas, garden chairs, battered car seats and upturned crates provide seating for the spectators. On one hilltop, a swing has been attached to the branches of a pine tree, allowing its occupant to sway gently in the breeze. Some bring bottles of beer or soft drinks and snacks.

Hao wapalestina wacha wapigwe wamezidi uchokozi tena Israel anakosea anatakiwa apige hata nuke afute kabisa hao wapumbavu ambao hawapendi amani...hao hamas wanawachokoza Israeli ikijibu inaonekana mgomvi.... Israeli piga kabisa hao magaidi wa palestina *****
 
Israel kuna watu wakatili sana. Ila wameishika dunia. Kila mtu anawaonea huruma sababu ya Hitler na upuuzi wake. Ndio watoto wa babu Ibrahimu wanavyosambaratishana huko Mashariki ya kati. The real brothers
Nyie watu kila Siku mnaelemishwa hamtaki kuelewa Hamna wajukuu wala watoto wa Ibrahimu hapo Israel,hao ni wazungu wanawadabisha waarabu wa paletstina.
Toka duniani iumbwe hakuwahi kuwa na my Israel ambaye ni mzungu.
 
Rest in Jahannam
20210514_090158.jpg
 
Hii video live ya mabomu, unaona yalikuwa yanadondoshwa tu mtaani na sio ku target jengo
View attachment 1783062
Hii video ya impact barabarani watu walivyojeruhiwa ama kufa. Hapa ndio wanadanganya dunia kuwa wanaowapiga Hamas,
View attachment 1783067

Kinachofanyika huko sasa hivi ni genocide, kuna Settlers 3000 wa ki Israel wanatafutiwa PA kukaa.
Nashindwa kufungua msaada
 
Mkuu nakushauri jitahidi kupitia historia ya kweli kuhusu Taifa la Kipalestina kabla ya mwaka 1948, halafu rudi hapa utupatie mrejesho - kwa taarifa yako Wayahudi ni binadamu wakatili sana, wenye akili za kikaburu , ,wajivuni na wapitoshaji kupindukia.

Kila siku wanazuga Dunia kwamba wanaonewa na Wapalestina wakati hiyo si kweli hata kidogo, hivi inaingia akilini kwamba Wapalestina ambao hawana ndege za kivita, vifaru, artillery na magari ya deraya wanaweza kweli kuwa tishio kwa Taifa la Israel?

Kinyume chake Wayahudi ndio wanapora aridhi ya Wapalestina na kujitanua kwa kujenga makazi ya walowezi kwenye aridhi ya Wapalestina ,wana wapora Wapalestina nyumba zao na kuwapatia Waisrael walowezi kutoka Ulaya na Amerika, hawajali kama familia za Kipalestina zilikuwa zinaishi hapo tangu miaka ya 1940s!! Jamaa hawa hawana UTU hata kidogo,any level headed person hawezi kutetea binadamu wenye akili za Lucifer na kibaguzi.
Unaongea kwa uchungu mkuu.

Eti hawana ndege za vita.😂😂😂

Hiyo historia unayoisema ukiichimbua kuanzia karne za nyuma utakuta mambo lukuki.

Mimi nimeamua kuwa mtazamaji maana hawa ndugu wawili mambo yao wanayajua wao kuliko sisi.
 
safari hii waachwe kwanza watiane adabu.
Gogoro lao linazaidi ya miaka 100.
 
Kusema ukweli kama ukabila, udini sasa inatosha. Kitendo cha kufanya watu wa Gaza, Palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo washuhudia mabomu yanavo rushwa.

Kusimame dunia nzima kupinga haya sisi ni wanadamu

======

s the sun begins to sink over the Mediterranean, groups of Israelis gather each evening on hilltops close to the Gaza border to cheer, whoop and whistle as bombs rain down on people in a hellish warzone a few miles away.

Old sofas, garden chairs, battered car seats and upturned crates provide seating for the spectators. On one hilltop, a swing has been attached to the branches of a pine tree, allowing its occupant to sway gently in the breeze. Some bring bottles of beer or soft drinks and snacks.

Fahamu chanzo cha uhasama kati ya Israel na Palestina​

18 Mei 2019
Bendera ya Israel na kitambaa cha Palestinian

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Ijapokuwa taifa la Israel halipo katika bara Ulaya, limeshiriki katika michezo ya Ulaya kwa zaidi ya miaka 45.
Lakini kumekuwa na wito wa kutohudhuria ghafla hiyo kutoka kwa wakosoaji wa Israel kutokana na sera yake dhidi ya Palestina katika eneo la Gaza.
Mgogoro kati ya Israel na Palestina umekuwepo kwa miongo kadhaa sasa na swala la umiliki wa ardhi ndio limetajwa kuwa nyeti.

Je mzozo huo ulianzaje?​

Mji wa Bethlehem mapema katika karne ya 20th

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,

Ni mzozo uliokuwepo kwa takriban miaka 100 sasa​

Uingereza ilichukua na kudhibiti eneo linalojulikana kama Palestine baada ya mtawala wa eneo hilo la mashariki ya kati mfalme wa Ottoman kushindwa katika vita vya duniani vya kwanza.
Ardhi hiyo ilikuwa ikimilikiwa na Wayahudi walio wachache na Waarabu walio wengi.
Uhasama baina ya makundi hayo mawili ulianza wakati jamii ya kimataifa ilipoipatia Uingereza jukumu la kuwapatia makaazi Wayahudi katika eneo la Wapalestina.
Kwa upande wa Wayahudi eneo hilo lilikuwa la mababu zao, lakini Waarabu Wapalestina pia nao walidai kumiliki ardhi hiyo na hivyobasi wakapinga mpango huo.
Mpiganaji wa Israel kwa jina haganah kabla ya kuanza kwa vita vya uhuru wa Israel 1948

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Mpiganaji wa Israel kwa jina haganah kabla ya kuanza kwa vita vya uhuru wa Israel 1948
Kati ya mwaka 1920 na miaka ya 40, Idadi ya Wayahudi iliowasili katika eneo hilo iliongezeka, huku wengi wakitoroka kuuawa barani Ulaya na kutafuta eneo la kuishi baada ya mauaji ya Holocaust ya vita vya dunia vya WWII.
Ghasia kati ya Wayahudi na waarabu na dhidi ya utawala wa Uingereza ziliongezeka.
Mwaka 1947, Umoja wa Mataifa ulipiga kura kwa Palestina kugawanywa kati ya mataifa ya Wayahudi na Wapalestina huku mji wa Jerusalem ukiwa mji wa kimataifa.
Mpango huo ulikubaliwa na Wayahudi lakini ukakataliwa na Waarabu na haukutekelezwa.
Wanajeshi wa Kiarabu wakiwashambulia wapiganajai wa Kiyahudi wa Haganah 1948

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Wanajeshi wa Kiarabu wakiwashambulia wapiganajai wa Kiyahudi wa Haganah 1948
Uanzishaji wa taifa la Israeli na 'changamoto' zake
Mwaka 1984 ,baada ya kishindwa kutatua mzozo huo , watawala wa Uingereza waliondoka na viongozi wa Kiyahudi wakatangaza uanzishwaji wa tiafa la Israel.
Wapalestina wengi walipinga na vitaa vikaanza.
Wanajeshi kutoka mataifa jirani ya Kiarabu walivamia. Mamia ya maelfu ya raia wa Kipalestina walitoroka ama kulazimishwa kutoka katika makaazi yao kwa kile walichokiita Al Nakba aua 'janga'.
Wakati vita vilipoisha mwaka uliofuata , Israel ilikuwa ikidhibiti eneo kubwa.
Jordan iliteka aradhi iliojulikana baadaye kama West Bank huku Misri ikilinyakua eneo la Gaza.
Jerusalem iligawanywa kati ya wanajeshi wa Israel waliopo magharibi na wanajeshi wa Jordan waliopo mashariki.
kwa kuwa hakukuwepo kwa mkataba wa amani - kila upande ulilaumu mwengine - kulikuwa na vita zaidi kwa miongo kadhaa.

Ramani ilivyo hii leo​

A map of Israel and the Palestinian territories

Presentational white space

Katika vita vyengine 1967, Israel ililiteka eneo la mashariki mwa Jerusalem na lile la West Bank pamoja na eneo kubwa la milima ya Golan iliopo Syria , Gaza na rasi ya Sinai iliopo Misri.
Wakimbizi wengi wa Palestina wanaishi katika eneo la Gaza na West Bank pamoja na mataifa jirani ya Jordan, Syria na Lebanon.
Wao na wajukuu wao hawakuruhusiwa na Israel kurudi katika makaazi yao-Israel inasema kuwa hatua hiyo itaizidi nchi hiyo na kutishia uwepo wake kama taifa la Wayahudi.
Makamanda wa jeshi la Israel wawawili mashariki mwa Jerusalem wakati wa vita vya siku sita 1967

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Makamanda wa jeshi la Israel wawawili mashariki mwa Jerusalem wakati wa vita vya siku sita 1967
Israel bado inasalia kulidhibiti eneo la West Bank, na ijapokuwa iliondoka katika ukanda wa Gaza Umoja wa mataifa unalitambua eneo hilo kama eneo lililotekwa.
Israel inadai kumiliki Jerusalem kama mji mkuu wa Israel huku Palestina ikidai kuwa Jerusalem ya mashariki ndio itakayokuwa mji wake mkuu wa taifa lijalo la Kipalestina.
Ni Marekani pekee inayotambua kwamba Jerusalem ni eneo la Israel . katika kipindi cha miaka 50 iliopita , Israel imekuwa ikijenga makaazi katika maeneo hayo ambapo takriban raia 600,000 wa Kiyahudi wanaishi.
Palestina inasema kuwa makaazi hayo ni haramu na kinyume na sheria ya kimataifa na kikwazo cha kuleta amani , lakini Israel imekana hilo.

Ni nini kinachoendelea?​

Mkaazi wa Palestina na mwenzake wa Israel wakikaripiana

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Hali ya wasiwasi ipo juu kati ya raia Israel na Wapalestina wanaoishi mashariki mwa Jerusalem, katika eneo la Gaza na lile la West Bank.
Gaza inatawaliwa na kundi la wapiganaji wa Kipalestina kwa jina Hamas, ambalo lilipigana na Israel mara nyingi.
Israel na Misri wanadhibiti eneo la mpakani la Gaza ili kuzuia silaha kusafirishwa hadi kwa wapiganaji wa Hamas.
Raia wa Palestina wanaoishi Gaza pamoja na West Bank wanasema kuwa wanateseka kutokana na vitendo vya Israel na vikwazo.
Israel nayo inasema kuwa inbatekeleza vitendo hivyo ili kujilinda dhidi ya ghasia za palestina. Kwa kipindi cha mwaka mmoja kilichopita, kumekuwa na ghasia katika mpaka wa Gaza na Israel.
Raia wa Palestina wamekuwa wakifanya maandamano , wakiwataka wakimbizi kurudi katika makaazi yao katika eneo ambalo sasa ni la Israel.
Israel inasema kuwa waandamanaji hao wanatumika kama ngao ili kuwashambulia.
Makumi ya raia wa Kipalestina wameuawa na wanajeshi wa Israel ambao wanasema wanachukua hatua hiyo kujilinda.
Vitoa machozi vyarusha dhidi ya waandamanaji karibu na mpaka kati ya ukanda wa Gaza na Israel.

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Vitoa machozi vyarusha dhidi ya waandamanaji karibu na mpaka kati ya ukanda wa Gaza na Israel.

Lakini matatizo ni yapi?​

Kuna maswala kadhaa ambayo Israel na Palestina hawawezi kukubaliana.
Maswala hayo yanashirikisha maswali kama vile ni nini hatma ya wakimbizi wa Palestina, Iwapo makaazi ya Wayahudi ya West bank yanafaa kuondolewa ama yaachwe , iwapo wawili hao wanafaa kutumia kwa pamoja mji wa Jerusalem na pengine kubwa zaidi ni iwapo taifa la Palestina linafaa kutengezwa pamoja na lile la Israel.
Mazungumzo ya amani yamekuwa yakifanyika kwa zaidi ya miaka 25 sasa , lakini kufikia sasa hakuna suluhu ya mzozo huo.

Je hatma ya mzozo huo ni upi?​

Hakuna anayejua kilicho ndani yake , lakini Marekani inasema kuwa huenda ikautangaza mpango huo mnamo mwezi Mei ama Juni 2019.

CHANZO CHA PICHA,REUTERS
Kwa ufupi, hali hiyo haiwezi kutatuliwa hivi karibuni.
Mpango mpya wa amani unaandaliwa na Marekani ambayo imeutaja kuwa mpango muzri wa karne hii.
Hakuna anayejua kilicho ndani yake , lakini Marekani inasema kuwa huenda ikautangaza mpango huo mnamo mwezi Mei ama Juni 2019.
Hatahivyo Wapalestina wanasema kuwa Marekani inaipendelea Israel na kwamba hawatakubali mpango wowote utakaoandaliwa na Marekani.
Israel imesema kuwa itasubiri kuona ni mpango gani.
Iwapo mpango huo utafanikiwa , uatamaliza mojawapo ya mizozo mikubwa zaidi duniani. Lakini iwapo itashindwa vita vitaendelea.
 
UGOMVI WA PALESTINA NA ISRAEL NI WA MAPACHA WAWILI TOKA WAKIWA TUMBONI KABLA YA KUZALIWA.
Nini sababu ya ugomvi ? Siyo tatizo la kugombania ardhi wala kugombania mji wa Yerusalem kunakosababisha ugomvi kati ya mataifa haya mawili ni kwamba kila taifa halitaki kutambulika kwa taifa jingine kama taifa huru.
Hii inamaanisha kwamba hata kama taifa la Palestina litahamia katika bara jingine au Israel kuhamia bara jingine bado ugomvi na vita ingeendelea kati ya mataifa haya mawili ,ugomvi kati ya mataifa haya unakwenda mbali zaidi tangu watoto wawili mapacha wakiwa tumboni kabla ya kuzaliwa.
Katika kitabu cha (Mwanzo 25:22) inasomeka;"Bwana akamwambia ,Mataifa mawili yamo tumboni mwako ,Na Kabila mbili za watu watafarakana tangu tumboni mwako, Kabila moja litakuwa hodari Kuliko la pili na mkubwa atamtumikia mdogo."
Alizaliwa kwanza Esau ambaye baadae aliitwa Edom kisha akafuatia Yakobo ambaye baadae aliitwa Israel. Wakati Edom ni taifa la Palestina, Israel ni taifa la Israeli, hakuna ubishi kwamba Israel ni hodari zaidi ya Palestina.
Miaka ya 50 iliyopita, yaani mwaka 1967 ,kulitokea vita kati ya Israel na mataifa jirani zake, Vita hii ilipiganwa kwa siku 6 tu(Juni 5---Juni 10,1967) lakini madhara yake yapo mpaka leo ,ilikuwa ni miaka michache kupita baada ya wa--NAZI wa Hitler,kuwaua wayahudi milioni 6 ,ndoto ya kuanzishwa kwa Taifa la Israeli kama ilivyotabiriwa kwenye biblia ilitimia.
Mwishoni mwa mwaka 1948 ikiwa ni miaka 3 tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia ,Mataifa ya kiarabu majirani mwa Israel yaliivamia Israel yakijaribu kuliangamiza Taifa changa ambalo muda mfupi tu lilikuwa limetangazwa na Umoja wa Mataifa kuwa Taifa huru, lakini hayakufanikiwa.
Jeshi la misri lilipigwa lakini askari waliokuwa kwenye eneo dogo linalojulikana kama Falluja walikataa kusalimu amri ,kundi la askari wa Misri na Israeli walipambana vikali ,Miongoni mwa askari Vijana waliokuwa kwenye kikosi cha jeshi la Israel alikuwa ni Yitzhak Rabin ambaye alikuwa na umri wa miaka 26 wakati huo, Pamoja na Meja Gamal Abdel Nasser wa jeshi la Misri aliyekuwa na miaka 30.
Wapalestina wanauita mwaka 1948 kuwa ni "al--Nakba" yaani 'Janga' .Zaidi ya wapalestina 750,000 walifukuzwa kutoka kwenye eneo ambalo sasa linajulikana kama Taifa la Israel na hawakuruhusiwa kurudi tena mahali hapo.
Mataifa ya Misri, Jordani, na Syria yaliungana pamoja kuishambulia Israel ambayo hata hivyo ndiyo kwanza ilikuwa imepewa hadhi ya kuwa taifa huru. Lakini kwasababu Mungu alikuwa amesema kwamba "Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili" ni wazi kuwa Israel ,likiwa taifa changa ,bado lilifanikiwa kuwashinda majirani zake tena ndani ya siku 6 tu.
Ingawa vita kati ya Israel na Palestina ilianzia tumboni ,lakini vita nyingi hutengenezwa na wajenzi huru kwa faida yao, Februari 17 mwaka 1950 James Paul Warburg mwenye asili ya kiyahudi alihutubia Baraza la Senate la Marekani na kusema " Government creates a crisis for which the public demands a solution.
That solution instigates the changes that the government initially wanted but which the people would have been unwilling to accept.
It is order out of chaos !!! Worldwide chaos will lead to worldwide solutions which will establish the one world order " yaani; Serikali hutengeneza migogoro ambayo umma hutaka pawepo na suruhisho.
Suruhisho hilo hulazimisha mabadiliko ambayo awali Serikali iliyataka lakini umma ulikuwa hauyataki, ni utaratibu unaopatikana Kutokana na machafuko !! Machafuko ya kidunia yataleta suruhisho la kidunia ambalo litaanzisha utaratibu mmoja wa ulimwengu.
Katika hotuba yake inayojulikana kama "Urbi et Orbi ", Papa Francis alisema ;" Pepo za vita zinavuma katika ulimwengu wetu na maendeleo yanaendelea kusababisha mmomonyoko wa maadili na uharibifu wa mazingira " Urbi et Orbi ni maneno yanayomaanisha " To the city and to the world" yaani " kwenda kwa mji na kwenda kwa ulimwengu" kumaanisha kwamba hotuba za Papa Francis zinakwenda kwa wakazi wa mji wa Vatican city na wakazi wa ulimwenguni kote.
Tishio la silaha za nyuklia kutoka Korea kaskazini ,mgogoro wa peninsula ya Korea pamoja na mgogoro wa mji wa Yerusalem baada ya Rais Trump kutangaza kuwa Yerusalem ni mji Mkuu wa Israel na tangazo hilo kupingwa na Umoja wa Mataifa, ni pepo zinazoonyesha dalili ya kufumka kwa vita duniani kote.
Katika hotuba hiyo papa Francis alipendekeza kutambuliwa kwa mataifa mawili yaani Israel na Palestina, kama suruhisho la mgogoro wa Mashariki ya kati pamoja na kutatua mgogoro wa Korea kaskazini kwa njia ya kidiplomasia.
Itakumbukwa kwamba, Mwanasayansi mashuhuri aliyejulikana kama Albert Einstein alitoa tafsiri ya neno " Insanity" yaani " kuchanganyikiwa au uwendawazimu " akisema ;"wakati mtu anapojaribu kutumia kanuni ya zamani ambayo ilishindwa kwa wakati na wakati mwingine tena, akiamini kwamba ,kwa vyovyote atapata matokeo tofauti mtu huyo amechanganyikiwa au ana uwendawazimu.
Israel, Palestina, Marekani na Umoja wa Mataifa kwa zaidi ya miaka 50 wamekuwa wakijadili uwezekano wa kuleta suluhu kwa kuifanya Palestina kuwa Taifa huru pamoja na Israeli. Hata hivyo ,wapalestina wamekuwa wakijiondoa kwenye suruhisho hilo kwa sababu mpango huo unaifanya Israel iendelee kuwa Taifa huru ,wapalestina wamekuwa wakipinga wazo kwamba Israel ina haki ya kuwepo na kuishi kama Taifa.
Lengo ni kuwafutilia mbali wayahudi wote, jambo ambalo hata Adolf Hitler alikuwa nalo lakini hakuweza ,kwa mujibu wa Mwanasayansi Albert Einstein " suruhisho la mataifa mawili ( two state solution) limeshindwa kufanya kazi na wale wanaoendelea kupendekeza suruhisho hilo, ama wamechanganyikiwa na ni wendawazimu au wanafanya kwa makusudi wakiwa wanafahamu matokeo yake.
Raia wa mataifa yote mawili wanamtambua Ibrahimu kama Baba wa Mataifa yao, Ibrahimu aliishi miaka 4000 iliyopita akisafiri Kwenye eneo la Taifa linalojulikana leo kama Iraqi, na akafika Kwenye eneo la taifa linalojulikana leo kama Israeli.
Ibrahimu aliahidiwa na Mungu Kwamba atapata mtoto Katika uzee wake .Akiwa amesubiri utimilifu wa ahadi hii kwa muda mrefu bila kupata mtoto ,alimchukua kijakazi wake na akafanikiwa kuzaa naye mtoto aliyeitwa ishmail. Lakini mungu hakuwa amepanga kumpatia Ibrahim mtoto kwa njia hiyo, bado aliendelea kumhakikishia kwamba atapata mtoto kupitia kwa mkewe. Kwa sababu alikuwa na imani ,alifanikiwa kumpata mtoto aliyepewa jina la Isaka.
Kisha Mungu akamuagiza kwenda kwenye mlima Moria, ili akamtoe kafara mtoto wake Isaka ambaye alikuwa amemsubiri Kwa muda mrefu. Huu mlima Moria upo wapi? Ingawa wakati wa siku za Ibrahimu ,miaka 2000KK ,eneo kubwa lilikuwa jangwa ,miaka 1000KK baadae Mfalme Daudi alijenga mji wa Yerusalem katika eneo hilo na mtoto wake aliyejulikana kama Mfalme Sulemani alijenga hekalu la kwanza kwenye eneo hilo la mlima Moria .
Imeandikwa " ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya bwana huko Yerusalem ,juu ya mlima Moria ..." (2 Nyakati 3:1). Lakini kwa Ibrahimu Mungu anamwambia : " umchukue mwanao ,mwana wako wa pekee, umpendaye ,Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka, ..." ( Mzo. 22:2) Hivyo basi mji wa Yerusalem anajulikana kama nchi ya Moria au mlima wa Moria au mji wa Daudi mahali palepale alipoambiwa nabii Ibrahimu kwenda kutoa kafara ,ndipo Hapo hapo Mfalme Sulemani alipojenga hekalu la kumuabudia Mungu na kumtolea kafara za wanyama.
Lakini zaidi ni katika mji wa Yerusalem ndipo yesu aliposulubiwa msalabani na hapo ndipo lilipo chimbuko la dini ya ukristo iliyoanzishwa kwa ujumla uzao wa Ibrahimu ndio chimbuko la dini kubwa tatu ,yaani uyahudi, uislamu ,na ukristo.
Dini zingine zote zimetokana na dini hizi tatu ,Kutokana na ukweli huu ,wajenzi huru wamefanikiwa kuwashawishi viongozi wa dini zote na kuziunganisha kuwa dini moja. Ingawa majina ya dini hizi yanaendelea kutumika kiasi cha kuonekana kwamba hakuna tofauti ,lakini matunda ya dini hizi yanaonyesha wazi kuwa yanatokea kwenye mti mmoja.
Katika mambo ya kiroho jina la dini ya mtu au dhehebu lake haliwezi kumfanya muumini afike mbinguni bali kitu muhimu ni matunda ya dini hiyo au dhehebu hilo. Kwa kujua hili mwanzilishi wa illuminati Dkt Adam Weishaupt aliandika akisema , The great strength of our order lies in its concealment " yaani nguvu kubwa ya Utaratibu wetu Iko katika kuficha na kufanya kazi zetu kwa siri kubwa " Hata huu muunganiko wa dini umefanywa kwa siri kubwa kiasi kwamba waumini wengi hawajui kinachoendelea.
Weishaupt akaendelea kusema, " let it never appear in any place in its own name, but always covered by another name and another occupation " yaani; " hebu isionekane mahali popote kwa jina lake, lakini daima ifanyike kwa jina lingine na kwa namna nyingine." ( Robin's Proofs of a Conspiracy, P. 195).
May be an image of 1 person

516516
108 Comments
245 Shares

Like

Comment

Share

[COLOR=var(--primary-text)]UGOMVI WA PALESTINA NA ISRAEL NI WA MAPACHA WAWILI TOKA WAKIWA TUMBONI KABLA YA KUZALIWA.

[/COLOR]

May be an image of 1 person

[COLOR=var(--secondary-text)]
516516
[COLOR=var(--secondary-text)]108 Comments

[COLOR=var(--secondary-text)]245 Shares[/COLOR]
[/COLOR]
[COLOR=var(--secondary-text)]Like
Comment
Share
[/COLOR]
[/COLOR]
 
Hamasi wanatumia gaza kama business center yao. Wanawachokoza waisrael wakijua baada ya hapo israel wataibomoa gaza.. ili wapate misaada.

Kiongozi wa hamas anatembelea private jet kama Rais wa marekani.

Ofcoz ni bishara nzuri maana wakubwa wa hamasi huwezi waona front, wanawatumia vijana wa kipalestina maskini kupata utajiri huku wakitukia imani kama kigezo cha vita.
Kusema ukweli kama ukabila, udini sasa inatosha. Kitendo cha kufanya watu wa Gaza, Palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo washuhudia mabomu yanavo rushwa.

Kusimame dunia nzima kupinga haya sisi ni wanadamu

======

s the sun begins to sink over the Mediterranean, groups of Israelis gather each evening on hilltops close to the Gaza border to cheer, whoop and whistle as bombs rain down on people in a hellish warzone a few miles away.

Old sofas, garden chairs, battered car seats and upturned crates provide seating for the spectators. On one hilltop, a swing has been attached to the branches of a pine tree, allowing its occupant to sway gently in the breeze. Some bring bottles of beer or soft drinks and snacks.

Hapana majeshi ya Israel muda karibia mwezi sasa hivi yanapiga watu,

Na alie tengeneza Hamas ni israeli
1. Palestina hawana Airport
2. Palestina hawana bandari
3. Palestina hawana jeshi
4. Ukitaka kwenda palestina inabidi uwe na visa ya Israel..

Kifupi palestina ni kisiwa kilichozungukwa na Israel, hakuna njia ya kupitisha silaha ama kuwasiliana na nchi nyengine bila kupitia israeli,

Kwa wakati mbalimbali viongozi wakubwa wastaafu wa Israeli wamekiri kufund Hamas hili wala sio siri.

Wanachofanya ni kutafuta Huruma kwa dunia ili wawaue Wapalestina vizuri.

ni kweli kuwa Israel at some point waliwahi kui fund Hamas, na pengine hata sasa bado wanaifund ...hii worldwide ni politic games to take control au kufaidika na vitu flan, kuna allegations ya marekan kufadhili
vikundi vya kipiganaji na hata africa kuna allegations kama hizo mfano Rwanda na Congo

ila kwa haya ya mashariki ya mbal we only know half of the story and its the story hao wakubwa wa dunia wanayotaka tuijue

jiulize hicho unachookiita palestina sasa angalia hapo chini ilivyokuw azaman had sasa..

na hao wakubwa wa dunia kuanzia Europe had Arab league walikuwepo lakini palestina inazid kushrink.. unaweza ukashangaa inaachajwe hii itokee ndo utajua there is more to this than what know.

rejea pia vita ya siku sita kati ya Israel na Arab league ikiongozwa na Misri na matokeo yake

IMG_6400.JPG
IMG_6401.JPG

Sipend na sifurahii kinachoendelea huko bila kujali nani mwenye haki..

wanazuon wanakwambia.. War do not bring Lasting peace only lasting death... and it doesn't determine who is right ...only who is the last man at standing

ukisema Israel kamzidi Palestina maana ameua 30 palestina kaua 2... nenda kawapongeze ndugu wa hao israel wawili waliokufa kuwa wameshinda maana wao wamekufa wawili tu ndo utajua Vita haina mshindi wa kweli

Kaangalie Series ya kiyahud na kipalestina(arab) inaitwa Fauda utapata glimpse ya maisha ya kila
siku ya mashariki ya mbali yanavyokuwa
 
View attachment 1784240View attachment 1784241

nakubaliana na point yako 100% mkuu, kuna mengi ambayo hatuyajui, hii clip ni Joe Biden rais wa sasa wa Marekani ila kipindi inarekodiwa alikuwa sio raisi.

hapo anasema hata kama Israel isingekuwepo ingebidi waigundue, hivyo ina maana kwa vyoyote vile hao watu walitakiwa wawepo hapo, wanapreprare nini? only God knows.
 
Na hao binadamu wasiokuwa Waisrael wamewaonea na kuwafanyia UNYAMA huko ULAYA YA MASHARIKI ,UGIRIKI ,MISRI NA SPAIN miaka kwa miaka....
 
Back
Top Bottom