Hawa chachandu wasipochukuliwa hatua kwa haraka tusilaumiane!!

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,439
859
Hivi kazi ya TCRA ni nini jamani?mtu anaamua kutunga habari hivi ya uongo na wao wanamuangalia tu manake nini?

Matapeli wa kwenye simu tena kwa mtandao wa serikali wa TTCL wamewashinda nahawa nao wanaojulikana wawashinde kweli?

Rais anadhihakiwa mnaangalia badae mkiwajibishwa mnaanza kulalamika.
2021_06_07_15.51.27.jpg
 
Freedom of speech and expression
Mimi nafikiriuhuru wa maoni ni pamoja na kuandika ukweli sasa kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani hapo kuna uhuru wa habari.

Tuendelee kusifia uhalifu badae tusilalamike
 
Mimi nafikiriuhuru wa maoni ni pamoja na kuandika ukweli sasa kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani hapo kuna uhuru wa habari.

Tuendelee kusifia uhalifu badae tusilalamike
Ni sahihi kwa hili inabidi TCRA waliiangalie kwa jicho la tatu
 
Huu ndiyo uhuru wa habari kweli jamani?
2021_06_07_16.22.53.jpg
2021_06_07_16.27.41.jpg
2021_06_07_16.22.35.jpg
2021_06_07_16.22.24.jpg
2021_06_07_16.27.55.jpg
 

Attachments

  • 2021_06_07_15.51.38.jpg
    2021_06_07_15.51.38.jpg
    27.7 KB · Views: 1
Angalia namba ya simu iliyowekwa kwenye ukurasa wao ni ya uongo kabisa na haipatikani jivi mtu anayetoa habari kwa uhuru anadanganya hadi namba?
2021_06_07_16.07.01.jpg
 
watu wanasaka views kwa kila hali. kweny hzo habar nying kichwa cha habar na hiyo picha wanazitengeneza uki view tu unakuta habari zingne
 
Back
Top Bottom