Nehemiahsovellah
New Member
- Feb 20, 2021
- 4
- 0
Duh
mwenge umefanikisha mradi gani , kivipi ?Nakuona attacking midfielder wa Pinga pinga FC kwenye mechi isiyo na kombe wala point.
Hata ukijibiwa huwezi kukubaliana na majibu,ur mind set umeshaiset kupinga pinga kila kitu.mwenge umefanikisha mradi gani , kivipi ?
Acha kulindwa tuu kuutembeza nchi nzima si mamikioni yanatumikaMi nkajua unalindwa na askari kumbe ni mamilioni ya pesa
Akili za Chama Cha Mazezeta, hivi mtu uibe koloboi ili ufanye nalo Nini?
Linahifadhiwa wapi hili nikaliibe?
Kama mwenge unaleta amani pasipo na amani, kwa Nini ulindwe na bunduki? Ungejioinda wenyewe,Hii unaikuta Tz tu bunduki inalinda mwenge