Hawa Airtel nao wameanza utapeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Airtel nao wameanza utapeli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kitty Galore, Jul 6, 2011.

 1. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Unatuma msg kwenda 15444 kutaka kujua salio la internet hakuna jibu unapata, ukipiga simu customer care unaambiwa kwa sasa hii huduma haipatikani piga no 0784 104 800, napo hapo unaambiwa huduma hii haipo kwa sasa kwaheri, simu inakatika, sasa tukiwa kama wateja ambao tunaambiwa kila siku tuhamie airtel na mambo ndio hayo, si bora nibaki huko nilipo, wanaboa sana
   
 2. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ina maana hakuna aliyepatwa na hili tatizo, au wenzangu mnajuaje salio kwenye modem zenu za airtel?
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mimi sijapata tatizo hilo mtandao upo fresh!
   
 4. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hata mimi sijapata tatizo hilo. Kama vipi toa laini uiweke kwenye simu kisha angalia salio.
   
 5. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  pole ndugu, inawezekana modem yako baso ina salio la internet,
  make sure that ama lime expire ama limeisha kabisaa..
  kujua salio kwa modem andika salio tuma kwenda 15444 kama unavyonunua bundle.
   
Loading...